Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,066
....Ooough sasa nimeelewa kumbe wanaangaliwa watu wa kujibiwa maswali, Eniwei siku njema intavyuwii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie mama... ananichokoza nikimlipizia ananituhumuWewe ni mchokozi
Kwenye ndoa kuna changamoto kwa kweli, je ushauri wako ni upi kwa wale wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa...
Na mwisho kabisaa, umri wako ni miaka mingapi???
Mkuu usikimbie, mimi yenyewe nimeuliza maswali hapa limejibiwa 1 tu.... Tusubiri labda tutajibiwa....Ooough sasa nimeelewa kumbe wanaangaliwa watu wa kujibiwa maswali, Eniwei siku njema intavyuwii
45Na aliyezaliwa Muhimbili hazidi miaka mingapi?
Nimelifoward atalikuta auntieLipi hilo? Muulize kwa kumquote.
Huo utafiti wako kiboko...
...Labda subiri tuone!Mkuu usikimbie, mimi yenyewe nimeuliza maswali hapa limejibiwa 1 tu.... Tusubiri labda tutajibiwa
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
DJ naona unataka kumuhoji mkuu wa mkoa wetu teh teh teh !!If God wishes cocochanel will be here on Friday!
muosha rungu
Ole wako ukatize kichumini kwetuMwambie mama... ananichokoza nikimlipizia ananituhumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....Ooough sasa nimeelewa kumbe wanaangaliwa watu wa kujibiwa maswali, Eniwei siku njema intavyuwii
...Wewe nimeku-quote?, mbona umeona malalamiko yangu?Atakujibu mkuu inabidi Uwe unam quote ili aone swali lako
muosha rungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dunia ina vituko aseeMkuu usikimbie, mimi yenyewe nimeuliza maswali hapa limejibiwa 1 tu.... Tusubiri labda tutajibiwa
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
....Hivi we jamaa huoni aibu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani unalilia kujibiwa swali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana
Mbona mm hujanijibu..ww ni KE??