Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

We unaye Organize Interview unatupotezea Muda.. Huyu Uliyemleta ni Muongo na hajibu maswali kama anavyoulizwa ni bora hiki kipindi kife hakina tija kabisa.. What is the Goal and Objective ya hii interview hmu nda, Nilitegemea huyu mnayemsifia kuwa yupo vizuri kichwani angekuwa anajibu maswali aliyoulizwa kwa upana wake badala yake anajibu hovyo na haeleweki... Muosha Rungu unawapotezea watu na mainterview yako
It was one of "A well organised live show (interview)...inawezekana maswali na majibu, ni ya kupikwa...!!

Kwa nini maswali mengine ameyakimbia...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unaye Organize Interview unatupotezea Muda.. Huyu Uliyemleta ni Muongo na hajibu maswali kama anavyoulizwa ni bora hiki kipindi kife hakina tija kabisa.. What is the Goal and Objective ya hii interview hmu nda, Nilitegemea huyu mnayemsifia kuwa yupo vizuri kichwani angekuwa anajibu maswali aliyoulizwa kwa upana wake badala yake anajibu hovyo na haeleweki... Muosha Rungu unawapotezea watu na mainterview yako
Nimekusikia ila sikubaliani Na wewe!
Sema au kitaje alichotanganya!

muosha rungu
 
Kamfundishe nidhamu, mwambie M. Melo (CEO) anatupa heshima yetu...

Hivyo kama Dogo huyo, ndie msaidizi wako katika kuosha Rungu, muambie "whatch out"...!!

Humu kuna watu wasio julikana, kama anajisikia kuwashwa na anahitaji kukunwa, mshauri anifuate "Private Masage" (PM) ..

Huko nitalalanae Mbele...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni member tu huyo kama wengine au wewe ndivyo alivyo Na tunayemjua huwa tunampuuza tu
Wala sio msaidizi wangu!
Msamehe bure!

muosha rungu
 
Palee shunie anaposikia leo ni lugha ya ubuyu
26297be2557f42f5035175786665948a.jpg
Hahahaha
 
Ni member tu huyo kama wengine au wewe ndivyo alivyo Na tunayemjua huwa tunampuuza tu
Wala sio msaidizi wangu!
Msamehe bure!

muosha rungu
Mshauri aje PM, nataka nione/nijue kipi kingine anacho fahamu zaidi ya kuuliza Members (We ni Ke au Me)..

Sio Busara kupitia mafunzo ya Jeshi, kama hujapitia vitu (adhabu ndogo) kama Kichura, Pushup na adhabu changamshi kadha wa kadha... !!

Hilo ni tatizo la kujiunga na JF bila kupitia USAILI...!!

By kesho atakuwa ban!

muosha rungu
 
Back
Top Bottom