Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Aisee...huyu jamaa jana hata mimi kanishangaza sana sio kawaida yake. Kwenye interview ya miss natafuta kaingilia mahojiano mwanzo mpaka mwisho hadi host akajitoa! Ilibidi nimwambie kwanini unavuruga utaratibu kuwa host next time.
Nashukuru siko peke yangu.
Huyu jamaa mie nafsi imegoma kabisaaa kuamini kuwa ndie. Jose tulomzoea hakuwa na fujo this much, alafu alikuwa ni this one humble guy hana shida na mtu, muelewa sana.

Sio wewe tu ulomzuia, wengi tu walimzuia na aliendelea kulalamika, na bado hata interview iliyofuata bado fujo hizo hizo ziliendelea hadi watu wengine wakaanza kumstukia kuwa sie.
 
Changamoto ni kuwa milizoea kuishi peke yangu na nilikuwa na spare room ulikaa viatu na hand bags sasa ku adjust life kuwa inabidi kuwe na space ya nguo za mwenzako lakini katika mapenzi yanawezekana. Ilibidi niachane na vitu vingi nilivyodhani ninavihitaji mwanzoni.

Kwakweli dini zote zinaleta za zina kabla ya ndoa, lakini Mwisho wa siku inategemea msibani wenye nyinyi wa chumba.

Hili la kuwa off mood kwa sex ni moja ya changamoto za ndoa lakini kwa maongezi na maelewano mwenza ataelewa hasa sababu zinazofanya uwe off mood.
Hiyo point ya pili hebu isome tena kama unaielewa!!!
 
Nashukuru siko peke yangu.
Huyu jamaa mie nafsi imegoma kabisaaa kuamini kuwa ndie. Jose tulomzoea hakuwa na fujo this much, alafu alikuwa ni this one humble guy hana shida na mtu, muelewa sana.

Sio wewe tu ulomzuia, wengi tu walimzuia na aliendelea kulalamika, na bado hata interview iliyofuata bado fujo hizo hizo ziliendelea hadi watu wengine wakaanza kumstukia kuwa sie.
Binafsi naweza kuamini huyu ndio Joseverest mwenyewe. Mwanzo kaja so humble, ila ule "utoto" wa "be the first to reply" kila thread inaonyesha tu kuwa ana vitabia vingine vya ajabu tu. Leo kaja na stance nyingine, kesho atabadilika tena.
 
Ukianza kuchapia tu ndio unaniacha hoi dada wa hamu, kuna sententi hapo nimetoka hola.
 
Binafsi naweza kuamini huyu ndio Joseverest mwenyewe. Mwanzo kaja so humble, ila ule "utoto" wa "be the first to reply" kila thread inaonyesha tu kuwa ana vitabia vingine vya ajabu tu. Leo kaja na stance nyingine, kesho atabadilika tena.
Shukrani mkuu
 
Nashukuru siko peke yangu.
Huyu jamaa mie nafsi imegoma kabisaaa kuamini kuwa ndie. Jose tulomzoea hakuwa na fujo this much, alafu alikuwa ni this one humble guy hana shida na mtu, muelewa sana.

Sio wewe tu ulomzuia, wengi tu walimzuia na aliendelea kulalamika, na bado hata interview iliyofuata bado fujo hizo hizo ziliendelea hadi watu wengine wakaanza kumstukia kuwa sie.
Aisee haya yalishapita lakini
 
Binafsi naweza kuamini huyu ndio Joseverest mwenyewe. Mwanzo kaja so humble, ila ule "utoto" wa "be the first to reply" kila thread inaonyesha tu kuwa ana vitabia vingine vya ajabu tu. Leo kaja na stance nyingine, kesho atabadilika tena.
Mbado!!!
 
Umeonaee
Kuna shida mahali, Jose haongeagi mara mbili lakinii huyu daaah hapana aisee
Just on point and once, no longo longo.

Huyu josee rapa sio kabisa[emoji23] [emoji23]
 
Yaani umejiandika kabisaaaaa
Eeeh acha wivu.. unajijua huna nondo.
Kaa uendelee kusubiri ofisi zikifunguliwa ndio ukae nje ya majengo kuvizia zilizo wazi uingie humu kusoma.

Nimejikuta nacheka ivi hujawai ugua ukichaa?

Ulicho andika hapo unatakiwa upelekwe mirembe haraka.
 
Eeeeeeeeh
Ila unanifatilia na kupenda kunisoma ninayoandika.. ha ha haa kumbe ndio maana unajua ukichaa ukoje

Niache kufwatilia watu wenye akili timamu nikufwatilie wewe?

Nasubiri jf walete option ya kublock ili nikublock nisikae nione utumbo wako unaoandikaga huku maana kila thread lazima ukoment ujinga.
 
Eeeeeeeeh
Bora upate muda uende kujiongeza.. bahati mbaya umeshindwa hata kumachi viatu vya moi Cocochanel.. umeishia kujaa wivu na chuki.. kisa siasa.. alosto

Toka lini mwanaume akamuonea wivu mwanamke? Nikuonee wivu unavyokuaga kwenye moon?

Ningekuwa kakaako ningesitisha huduma ya kukulea kwa mwezi mmoja upate akili ya kuomba msamaha kwa bwana aliekuzalisha.
 
Ha ha ha haaaa
Nimecheka sana sana

Sasa ya kuzalishwa eeeeh inamaana huko kwenu ndio jadi yenu eeeeh
Wewe unanionea wivu na pia ni shabiki langu mstari wa kwanza eeeeeeh
Unapenda kunitungia maajabuuuuuu inaelekea maisha yako ni yanakupiga haswa.. omba msaada usaidiwe usione aibu.
 
.

Sasa utanisaidia nini?

Acha nikae kimya nisije nikakufuru.
 
Back
Top Bottom