Elections 2010 Slaa Akata Anga Morogoro

Magazeti ya Tanzania Daima, Raia Mwema, Majira ndiyo CCM imeamua kuyafungia yasipatikane mtandaoni hadi baada ya uchaguzi?
 
Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!
Kifafa tena Aiseeee usitukumbushe, ila mwambie babu yako asirudi tena jangwani safari hii hanyanyuki.
 
Kifafa tena Aiseeee usitukumbushe, ila mwambie babu yako asirudi tena jangwani safari hii hanyanyuki.

Juzi waliposema kwenye ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA kulijaa ma-barmaids pamoja na wahuni wa mitaani, akili ilizunguka kwa haraka sana kujaribu kutafuta link ya ile maneno na situation ninayoijua. JF
 
CCM haiwezi kuishiwa vibwengo.
 
Hii si dalili nzuri kwa Dr. manake atakua mtu wa kuendeshwa na matukio. Atajishushia hadhi ,abadili jinsi ya kueneza sera manake watu watamchoka kwa kuona hana jingine zaidi ya kusema watu na matukio. Mtazamo wangu jamani.
 
Achana naye nyie hao hao mlisema kaisha alipolipua mwembe yanga baadaye mkanyamaza hata sasa mtasema mwisho mtanyamaza wenyewe jamaa anazidi kusonga mbele kesho anaingia kwa tingatinga.
 
Achana naye nyie hao hao mlisema kaisha alipolipua mwembe yanga baadaye mkanyamaza hata sasa mtasema mwisho mtanyamaza wenyewe jamaa anazidi kusonga mbele kesho anaingia kwa tingatinga.
Jamaa kashawashinda hawa jamaa kwani hashulishwi na vijembe vyao. Huo ndo uwanaume na demekrasia. haahahahahahaha. Watatoa lawama haoooo, wewe ngoja 1st November,2010.
 
I am serious. Some, if not many, people here argue like they had never been to any class in their entire life.

Watanzania hawataki kujua nani kaenda class au laa. Theory here is that ni kwa jinsi gani rulling class wanasimamia money from tax payers??????

Asiye jua kinana, RA ni wezi ni nani? hakuna mtanzania utamdanganya bwana.
 
Hii ni sahihi kabisa,ukikaa kimya wanapata ngvu ya kuendelea kukubomoa
 
Juzi waliposema kwenye ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA kulijaa ma-barmaids pamoja na wahuni wa mitaani, akili ilizunguka kwa haraka sana kujaribu kutafuta link ya ile maneno na situation ninayoijua. JF

Aliyekwambia barmaids kura yao ina robo kilo na ya mtu kama wewe ina kilo kumi nani? Hao unaowaita wahuni wa mtaani ni Watanzania na ndio wanaokupa kula wewe na wenzio...changanya na za kwako...
 
Magazeti ya Tanzania Daima, Raia Mwema, Majira ndiyo CCM imeamua kuyafungia yasipatikane mtandaoni hadi baada ya uchaguzi?

Namimi ndo nashangaa kweli sipati manews kabisa toka Chadema wazindue kampeni. Saizi nasoma reserved news ambazo hata hazinipi raha.:confused2:
 
Jatropha,
Mwema yupo. Lakini kuna watu hawaguswi Bongo. Chenge ni mfano mmojawapo.
Kweli mkuu wangu huyu jamaa aliua wale wasichana waliokuwa wamepanda Bajaj na sikajsikia lolote kuhusiana na kesi yake.. yaani ndio anapeta tu hali wazazi wa watoto wale ndio wanalia kila kukicha..
 
Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!

Nahisi kama utakuwa una mapepo weweeee!!!!!!! Manake kwa binadamu wa kawaida hawezi kuwa na akili kama ya kwako.
 
chadema inabidi wawe na surrogates kila kanda wa kujibu matope ya ccm within 24hours, ccm wanachokifanya ni kuwachanga wananchi waache kuzumgumzia masuala mazito waongelee upuuzi wa hicho wanachodai ni matusi

chadema chukueni huu ushauri ...................tafadhali
 
Lkini sasa kwenye TV ilionyesha akiwa Ruaha anahutubia kama watu 60 tu hivi. Sasa hapo imekaaje? Watu 60 minus watu wa CCM/CUF/NCCR=AB
Watu AB minus wasiojiandikisha=CD
Watu CD minus ambao hawatapiga kura siku hiyo=EF
Watu EF minus watakaoharibu kura=GH
Nikajiuliza, was it worth it to allow the prospective (president) to address a rally of such number of people?
On TV, people are interested with numbers, multitude of people attending rallies and this has got a big effect on who people will vote for in October.
What is wrong here?
 
Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!

Ulitaka wawe na akili zilizotofautiana uwacheke kuwa ni mazuzu hayana umoja?

Kama babu wa babu zao alikuwa mmoja kuna ajabu gani ikiwa akili zao zinafanana?

Abdulahaman Kinana ni fisadi-jangili kanusha kwa ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…