Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
Magazeti ya Tanzania Daima, Raia Mwema, Majira ndiyo CCM imeamua kuyafungia yasipatikane mtandaoni hadi baada ya uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifafa tena Aiseeee usitukumbushe, ila mwambie babu yako asirudi tena jangwani safari hii hanyanyuki.Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!
Kifafa tena Aiseeee usitukumbushe, ila mwambie babu yako asirudi tena jangwani safari hii hanyanyuki.
Juzi waliposema kwenye ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA kulijaa ma-barmaids pamoja na wahuni wa mitaani, akili ilizunguka kwa haraka sana kujaribu kutafuta link ya ile maneno na situation ninayoijua. JF
CCM haiwezi kuishiwa vibwengo.
Slaa akata anga Morogoro
LEO Dk. Willlibrod Slaa alikuwa mkoani Morogoro, katika wilaya za Mikumi na Mvomero. Mikutano imefana. Amesisitiza haja ya Morogoro kuwa na wabunge wa upinzani ili kuongeza uwajibikaji katika halmashauri za mkoa huu, na katika nchi nzima kupitia Bunge; na kudhibiti wizi wa fedha za umma.
Akiwa Mikumi, alimlipua mwenyekiti wa kamati ya kampeni za CCM, Abdulahman Kinana, akisema kigogo huyo ana mkono katika biashara chafu za makampuni ya meli; akamtaka ajielekeze katika masuala ya kitaifa badala ya kumwandama yeye (Slaa). Akasisitiza kwamba ana ushahidi wa kauli zake, kwani hana historia ya kukurupuka.
Kauli hiyo ya Dk. Slaa inakuja siku moja baada ya Kinana kujibu mapigo ya makada wa Chadema, hasa Mabere Marando, ambao waliwataja hadharani vigogo wanaohusika na ufisadi mkubwa, huku CCM ikilalamika kwamba chama hicho cha upinzani kinatoa matusi.
Katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Chadema, Marando alisema vigogo waliohusika na wizi wa EPA ni Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, Rostam Azizi na Edward Lowassa, akasema waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi ni dagaa wanaoonewa ili kuficha madhambi ya wahusika wenyewe wa ufisadi.
Juzi Kinana alijitokeza na kumbeza Dk. Slaa, kwamba anatumia lugha ya matusi kwenye kampeni kinyume cha makubaliano waliyosaini. Dk. Slaa jana alisema mtu akiiba anaitwa mwizi; na kwamba kumwita hivyo si matusi
Source: Ngurumo
Achana naye nyie hao hao mlisema kaisha alipolipua mwembe yanga baadaye mkanyamaza hata sasa mtasema mwisho mtanyamaza wenyewe jamaa anazidi kusonga mbele kesho anaingia kwa tingatinga.Hii si dalili nzuri kwa Dr. manake atakua mtu wa kuendeshwa na matukio. Atajishushia hadhi ,abadili jinsi ya kueneza sera manake watu watamchoka kwa kuona hana jingine zaidi ya kusema watu na matukio. Mtazamo wangu jamani.
Jamaa kashawashinda hawa jamaa kwani hashulishwi na vijembe vyao. Huo ndo uwanaume na demekrasia. haahahahahahaha. Watatoa lawama haoooo, wewe ngoja 1st November,2010.Achana naye nyie hao hao mlisema kaisha alipolipua mwembe yanga baadaye mkanyamaza hata sasa mtasema mwisho mtanyamaza wenyewe jamaa anazidi kusonga mbele kesho anaingia kwa tingatinga.
Halafu CCM wote mnafanana akili. Kwa wizi na ufisadi hamna mfano.Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!
I am serious. Some, if not many, people here argue like they had never been to any class in their entire life.
Sasa ndiyo naanza kuelewa kwa nini CCM wanasisitiza lugha za ustaarabu wanaogopa kuumbuliwa madhambi yao, Kinana naye kesho aseme katukanwa kwa kuambiwa ukweli kuwa ana mkono kwenye biashara chafu ya meli. Kwani kusema ukweli ni matusi au wanafikiri sisi hatujui matusi ni kitu gani, wao wajibu hoja wasikimbilie kutukanwa au waende mahakamani.
I am serious. Some, if not many, people here argue like they had never been to any class in their entire life.
Juzi waliposema kwenye ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA kulijaa ma-barmaids pamoja na wahuni wa mitaani, akili ilizunguka kwa haraka sana kujaribu kutafuta link ya ile maneno na situation ninayoijua. JF
SLAA NA KIKWETE wawekwe kwenye mdahalo ndiyo utajua shule iko Chadema ama CCM.
Magazeti ya Tanzania Daima, Raia Mwema, Majira ndiyo CCM imeamua kuyafungia yasipatikane mtandaoni hadi baada ya uchaguzi?
Kweli mkuu wangu huyu jamaa aliua wale wasichana waliokuwa wamepanda Bajaj na sikajsikia lolote kuhusiana na kesi yake.. yaani ndio anapeta tu hali wazazi wa watoto wale ndio wanalia kila kukicha..Jatropha,
Mwema yupo. Lakini kuna watu hawaguswi Bongo. Chenge ni mfano mmojawapo.
Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!
chadema inabidi wawe na surrogates kila kanda wa kujibu matope ya ccm within 24hours, ccm wanachokifanya ni kuwachanga wananchi waache kuzumgumzia masuala mazito waongelee upuuzi wa hicho wanachodai ni matusi
Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!