Elections 2010 Slaa azuiliwa kuhutubia Iringa

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
678
Reaction score
47
Tetesi kutoka Iringa zinasema Slaa kazuiliwa kuhutubia Iringa kwa vile amechelewa kufika. Taarifa za uhakika zinaonyesha kuwa alicheleweshwa maksudi Dodoma ili azima hiyo itimie. Sasa hivi anaomba idhini ya kufanya mkutano kesho-sijui ataruhusiwa au la. Umati uliokuwa huko hauelezeki.
 
duh,kazi kweli kweli mwaka huu!na slaa tena?
 
mhhhhhhhhhhhhhh haya unaweza mpiga teke chura ukamwongezea mwendo badala ya kumkomoa
 
Nakubaliana nawe juu ya hilo. Mara nyingi tunafanya vitu kwa lengo la kumkomoa mtu lakini matokeo huwa tofauti. Tukumbuke, hakuna haki bila wajibu, twende tukapige kura hapo tarehe 31. Mungu ibariki Tanzania.
 
Tetesi kutoka Iringa zinasema Slaa kazuiliwa kuhutubia Iringa kwa vile amechelewa kufika. Taarifa za uhakika zinaonyesha kuwa alicheleweshwa maksudi Dodoma ili azima hiyo itimie. Sasa hivi anaomba idhini ya kufanya mkutano kesho-sijui ataruhusiwa au la. Umati uliokuwa huko hauelezeki.
Ndugu yangu kama ushabiki huu umezidi! ninavyokumbuka mimi haikuwa hivyo. jamaa kweli alichelewa mbaka saa kumi na mbili alikuwa bado hajafika, mishale ya saa kumi na mbili ndo helkopta yake ilionekana angani lakini watu tiyari walikuwa wameishatawanyika pia ingekuwa vigumu yeye kuhutubia kulingana na sheria za uchaguzi zinazoagiza kuwa kampeni iwe mwisho saa kumi na mbili. lakini hata hivyo hakikualibika kitu kwani wagombea na viongozi wa chadema waliendelea na kampeni zao kama kawaida huku wakipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa mashabiki waliofurika kumsubili silaa. watu wanasubiri labda kesho kama atahutubia
 
Bw. Mnyikungu, soma link yote vizuri. Nadhani hujaelewa. Umepinga kile unachojipinga mwenyewe. Soma ulichonukuu, na ulichosema. Usipandwe jazba...hali halisi ndo hiyo. Huwezi kuchakachua mawazo ya watu.
 
Hadi nimepaliwa kwa kucheka? ni kweli kumpiga chura teke nikumwongezea mwendo sio kumkomoa!!!! mwaka huu!!!!
 
bw. Mnyikungu, soma link yote vizuri. Nadhani hujaelewa. Umepinga kile unachojipinga mwenyewe. Soma ulichonukuu, na ulichosema. Usipandwe jazba...hali halisi ndo hiyo. Huwezi kuchakachua mawazo ya watu.
we can,na wewe sio muelewa, ninachotaka kusema ni kwaba slaa hajazuiliwa ila alichelewa mno, pia hakutua uwanjani kama kawaida yake, watu walimsubiri mbaka wakatawanyika,wakiwa tiyari wametawanyika ndio waliiona helkopta ikipita angani ikielekea wasikokujua. Sasa sijua kazuiliwa saa ngapi na nani?.
 
Back
Top Bottom