Mshirazi
JF-Expert Member
- Dec 8, 2009
- 444
- 177
Yale yaliyomkuta Mrema mwaka 1995 ndio yanaelekea kumkuta Slaa,
Naam,,, sio wote wanaokwenda kwenye mikutano yake ni wapiga kura wake... Hayo yamedhihirika katika mkutano wake wa hivi karibuni huko Musoma, ambapo mtangazaji wa BBC alifanya mahojiano na watu kadhaa waliohudhurua mkutano huo na kukiri kwamba WAO WANAKWENDA TU KUMSIKILIZA lakini kura zao ni kwa mwenzie...na wakamtaja jina huyo mwenzie,,,, ushahidi wa haya sikiliza DIRA YA DUNIA ya BBC ya jana October 14.... matangazo hayo yanapatika online.....
Slaa,,, hao ndio watanzania,,, wanajua vema kupambanua
teh teh teh.... ila usikate tamaa