Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

Usalama hipi unayoisemea au ya Nchi gani?
 
Kuna Tundu Lissu

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
[emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357]
 
Mkuu kuna historia ya moja ya dola duniani ilifanikiwa kuweka mashushu hata kati ya mke na mme, baba na mwanaye etc yaan kila familia ilikua na shushu nchi hii ni nchi gani maana sikuamin sana chanzo nilichopatia taarifa hii
 
Mkuu labda nikuambie. Huwa wakishikwa humalizwa kimya kimya.Watz uslama ni wanyama mbaya,usijaribu kwao. hata sisi tulipenyeza somalia al shabab.
 
Kwa tz wala hamna cha mbinu kubwa mpe mtu milion kumi uone watu watadukua mpaka zitakazokuja.. yaani mpk future yake utaambiwa
Nimecheka.....watadukua hadi future?
 
Mkuu kuna historia ya moja ya dola duniani ilifanikiwa kuweka mashushu hata kati ya mke na mme, baba na mwanaye etc yaan kila familia ilikua na shushu nchi hii ni nchi gani maana sikuamin sana chanzo nilichopatia taarifa hii
..Malawi chini ya Kamuzu Banda...
 
Asante sana....interesting sana. Ila Sasa huyu sleeper kama hawez kulipwa kwa kuwa anaweza kugundulika....hyo kazi yake ambaye inaweza kumsababishikia kifo ina faida gan kwakweli?!
Hapo mpango mzima ni uzalendo, malipo baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…