Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

hata kwenye sekta za siasa humu mwetu ma-sleeper wamo kibao! Wengine ndio hao baada ya kuzeeka wanatunukiwa vyeo vya ajabu ili mradi wayafikie malipo yao , mfano angalia mwenyewe
 
Malizia hii story ili nasi tudokoe japo kidogo, ila nimeona warundi na wanyarwanda wanaotumia passport za Tz wanavyogunduliwa kirahisi, hawa jamaa hawawezi kusema NG'OMBE, wao huwa wanasema ngombe, pia kwenye rangi huwa wanajisahau na kuzitamka kwa kifaransa.
Nalog off
ngombe!
 
Sleeper agents wengi huwa wanapandikizwa katika nchi na taasisi bila hata wao wenyewe kujijua kama wapo kwenye infiltration plan.

Operation inaweza chukua hata 30 years kulingana na uimara wa ulinzi wa host country.

Inaweza kuhusisha kuanzia utungwaji wa mimba mpaka malezi ya mtoto.

I'll be back....
 
[HASHTAG]#Girlnext-door[/HASHTAG]
Be back baby,
I'm " [HASHTAG]#boynextdoor[/HASHTAG]" I hope you know that.
 
yani cc dunia iyo hata hatupo kama usalama kila mtu anawajua kuna siri gani tena

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
 
kwa bongo hali ni tofauti sana wa huku hutumiwa kutesa na kunyanyasa raia wasio na hatia....
 
Back
Top Bottom