farusofia
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 539
- 553
Hao ndio wanatafutwa Sana, na ndio huwa wanampa kiburi Kagame, kuna mmoja alishawahi kufurumushwa kwa habari za mtaani lakini, msikariri, kama TISS mpo humu basi kuweni makini sana na WanyarwandaHuu uzi ni kama umeclick kwa mind yangu!
Namkumbuka chalii mmoja tulisoma nae chuo, huyu hakika alikuwa ni sleeper agent wa TUTSI EMPIRE dogo kainflitiate hadi jeshini na sahivi ni mgavi huko jeshini na ana nyota3!
Dada zake na nduguze wote wako na nyadhifa huko kwa Kagame!!