Hao ndio wanatafutwa Sana, na ndio huwa wanampa kiburi Kagame, kuna mmoja alishawahi kufurumushwa kwa habari za mtaani lakini, msikariri, kama TISS mpo humu basi kuweni makini sana na WanyarwandaHuu uzi ni kama umeclick kwa mind yangu!
Namkumbuka chalii mmoja tulisoma nae chuo, huyu hakika alikuwa ni sleeper agent wa TUTSI EMPIRE dogo kainflitiate hadi jeshini na sahivi ni mgavi huko jeshini na ana nyota3!
Dada zake na nduguze wote wako na nyadhifa huko kwa Kagame!!
Hao ndio wanatafutwa Sana, na ndipo huwa wanampa kiburi Kagame, kuna mmoja alishawahi kufurumushwa kwa habari za mtaani lakini, msikaririHuu uzi ni kama umeclick kwa mind yangu!
Namkumbuka chalii mmoja tulisoma nae chuo, huyu hakika alikuwa ni sleeper agent wa TUTSI EMPIRE dogo kainflitiate hadi jeshini na sahivi ni mgavi huko jeshini na ana nyota3!
Dada zake na nduguze wote wako na nyadhifa huko kwa Kagame!!
Kamwacha mke ana hangaika na watoto mpaka sasa, mke yupo kama mwendawazimu mpaka sasa, maana hajui kama mme wake yupo hai au ndio kwishnei, maana si unajua tena ukishastukiwa unakuwa huna dili tena, tena hata Waliokutuma wanaweza kukupotezaNasikia kuna mjeda mmoja aliyekuwa na asili ya kagame alikimbia jeshi na Kurudi kwao..
Yah kuna kuna mzee mmoja ni mstaafu wa taasisi za kiintelijensia alinipaga hyo stori...Jamaa alipandikizwaeti kuna tetesi kuwa Mikai Gorbachev alikuwa sleeper agent wa USA
RwandaSleeper agent wa nchi gani?
Mr &mrs smithNi Jolie,sio julie
Tumtimue kabla mambo hayajaharibikaRwanda
Hela na wanawake!Hizi njia siamini kama zinatumika sana kwa nchi za kiafrica ukitaka kupata data we toa mkwanja hadi nyaraka muhimu za ikulu unaletewa!
Waafrica wanapenda sana hela
Hela na wanawake!Hizi njia siamini kama zinatumika sana kwa nchi za kiafrica ukitaka kupata data we toa mkwanja hadi nyaraka muhimu za ikulu unaletewa!
Waafrica wanapenda sana hela
Alikufa kabla hajamaliza mission tulimstukia mapema ila alitusumbua sana jirani yuleKuna yule alieua elimu yetu nina wasiwasi nae.