Slogan ya CCM 2020 Kuelekea uchaguzi"Kazi ipo Kazini"

Kazi na bata ina mvuto kwa wavivu. Mwenye akili anajua kabisa jinsi tulivyo nyuma pia culture yetu ya kupenda ke-relax badala ya kufanya kazi, slogan kama hii itazidi kudidimiza nchi nyuma. Infact siku za nyuma tumekuwa tunafuata hii slogan (nchi nyingi za Afrika) ya kazi na bata ndiyo maana tumeshindwa kujikwamua. It is very sad kwamba mtu mwenye exposure kama Zitto, ambnaye ameshasafiri nje na kuona nchi nyingine wanavyochapa kazi ku-compaire na sisi anataka kutudanganya tuzidi ku-relax badala ya kufanya kazi.

Huwa sina tatizo na mawazo yako. Uzuri wangu hata mawazo ya kizee huwa nayaheshimu.
 
Safi sana. Endelea kuyaheshimu kwani wazee ndiyo wenye busara. Kwa mfano mimi nimesoma na kutembea nchi mbali mbali hivyo lazima uwezo wangu wa kuona mambo ni mpana kuliko wako mara dufu.
 
Kazi na bata ina mvuto kwa wavivu. Mwenye akili anajua kabisa jinsi tulivyo nyuma pia culture yetu ya kupenda ke-relax badala ya kufanya kazi, slogan kama hii itazidi kudidimiza nchi nyuma. Infact siku za nyuma tumekuwa tunafuata hii slogan (nchi nyingi za Afrika) ya kazi na bata ndiyo maana tumeshindwa kujikwamua. It is very sad kwamba mtu mwenye exposure kama Zitto, ambnaye ameshasafiri nje na kuona nchi nyingine wanavyochapa kazi ku-compaire na sisi anataka kutudanganya tuzidi ku-relax badala ya kufanya kazi.
Hatupaswi kufanya kazi tu, hata watumwa enzi zile walikuwa wanafanya kazi tu hakuna bata, je sisi watu huru???

Kauli mbiu yetu ni lazima ibebe maudhui yanayoonyesha matunda ya kazi mathalani yaweza kuwa bata ama ustawi bora wa jamii n.k
 
Safi sana. Endelea kuyaheshimu kwani wazee ndiyo wenye busara. Kwa mfano mimi nimesoma na kutembea nchi mbali mbali hivyo lazima uwezo wangu wa kuona mambo ni mpana kuliko wako mara dufu.

Mkuu ni kweli kabisa, tena ukizingatia mimi nimeishia kutembelea mitaa mbalimbali hapa Dar ndio kabisa unanizidi kwa mbali. Ila kwa huu ujima wangu najua US ndio taifa tajiri zaidi na lina wachapakazi wakubwa, huwa nawaona wakipenda kutalii, na ndio watalii wanaotumia pesa zaidi kwenye utalii wao yaani kula Bata. Kwa ajili ya kula Bata huko huenda wamerekani ni wavivu sana. Au huko US hujawahi kufika kwenye hizo nchi ulizotembelea, ili utupe uzoefu wako kuhusu uvuvi wao?
 
Unapomwambia mtu mvivu ambaye anazalisha chini ya kiwango ujinga unaoitwa ''kazi na bata'' unamfanya awe mvivu zaidi. Huu msemo inatakiwa waambiwe wale watu ambao wanafanya kazi kwa masaa mengi, kupitiliza. Tanzania tunafanya kazi gani kupitiliza mpaka umkumbushe mtu kula bata wakati kila siku anakula bata hata pale ambapo alitakiwa kufanya kazi. Na usipindishe hoja yangu. Hoja yangu haijakaza kupumzika baada ya kufanya kazi inavyotakiwa. Hoja yangu ni huu upuuzi wa kumhimiza mtu ambaye tayari anafanya kazi chini ya kiwango eti akumbuke kupumzika. Upo hapo ?
 
We dingi ni bora unyamaze tu maana umeishiwa hoja za utetezi. Kuna uhusiano gani wa kula Bata na uvuvi? Utakula bata gani kama huna kazi inayokuingizia kipato? Kwa mawazo haya nahisi hizo nchi ulizotembelea uliwaachia hasara ya kujaza vyoo kuliko faida uliyotoka nayo kichwani. Ingekuwa hiyo kauli ya kazi na bata inasema watu wale bata bila kufanya kazi ningejua unafahamu unaongea nini. Mkuu acha nikupongeze kwa kujua kusoma na kuandika.
 
Tanzania ni moja ya nchi ambazo watu wake wanafanya kazi chini ya kiwango! Utawaambiaje watu wa aina hii kazi na bata wakati wana-under perform? Unaruka ruka huku na huko tu lakini hujajibu hili! #achaHasira na eleza kitu kinachoeleweka!
 
Back
Top Bottom