Slogan ya Utopolo wamewaibia dada zao

Slogan ya Utopolo wamewaibia dada zao

Tangia mpigwe lile goal byut byut,mikia akili zao hazijawahi kukaa sawa..ukipitia comments zao utagundua hii kauli ndo ubingwa wao mwaka huu[emoji23][emoji23]
 
Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu

Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
Byuti byuti
images-1.jpg
images-2.jpg
 
Back
Top Bottom