SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Vibwengo wanajua kubong'oa hadi rahaTulieni mkijitingisha itavunjikia ndaniView attachment 2312548
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibwengo wanajua kubong'oa hadi rahaTulieni mkijitingisha itavunjikia ndaniView attachment 2312548
.Tulieni mkijitingisha itavunjikia ndaniView attachment 2312548
acha tuweke record sawa.Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
waliojiaibisha ni beaty dressing salonWewe siyo wa kujiaibisha kiasi hiki. Kama hujui lugha ingekaa kimya au muulize Scars atakufafanulia.
Kwani wanawake sio watu?Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
Beauty Tate, kwema lakini?Huu uzi umejaa vibwengo tupu.
Kwani nani kasema nyinyi wanawake sio watu? Tunatambua uwepo wenu kama mama zetu, ila swala la kutumia Slogan ya Byuti ni kutufedhehesha sisi.Kwani wanawake sio watu?
Unawaonea wivu wanawake?Kwani nani kasema nyinyi wanawake sio watu? Tunatambua uwepo wenu kama mama zetu, ila swala la kutumia Slogan ya Byuti ni kutufedhehesha sisi.
nakubaliana na wewe, hata beaty aka walimbwende watulie,waliyataka wenyeweTULIENI DAWA IINGIE
Wee naeenakubaliana na wewe, hata beaty aka walimbwende watulie,waliyataka wenyewe
Jinyeeni mjipakeNi ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
wewe ni byuti byuti? 😂😂😂Ata msemo wenu pendwa utopolo umetoka kwa mshabiki wa Yanga kuonesha yanga iko vzr kwenye ubunifu leo kla mwana Simba antamka neno utopolo ila mmiliki wa neno lenyewe utopolo ni mwana Yanga
Mimi siwezi kukuonea wivu, kwasababu sitamani kuwa wewe.Unawaonea wivu wanawake?View attachment 2312815
Tuliza wowowo sasaMimi siwezi kukuonea wivu, kwasababu sitamani kuwa wewe.
Goli la feisal dhidi ya makolo ulibwanji pale kirumba ndo limetupa jina hiloo ktk tamasha letu!!ukiona mtu anakereka na jina hilo ujue ni makolo fcNi ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
mwenye video ya lile goli la mwamba Feisal dhidi ya wake zetu makolo FC alitume tumsikie mzungu akisema "byuti byuti"x2Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2312444
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi aibu yaani