Slogan ya Utopolo wamewaibia dada zao

Slogan ya Utopolo wamewaibia dada zao

Tulieni mkijitingisha itavunjikia ndaniView attachment 2312548
Vibwengo wanajua kubong'oa hadi raha
FB_IMG_1586931024261.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu

Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
acha tuweke record sawa.
aliye introduce usemi wa "byuti byuti" katika soka la tz mpaka yanga wameamua kutumia kama kauli mbiu yao ya hamasa, ni mtangazaji mahiri wa mpira raia wa Uganda anayeitwa Peter Otai.

Peter Otai ni international football commentator, mara nyingi huwa anakuwa hired na azam media kutangaza mechi kubwa kwa kutumia lugha ya kingereza.

"byuti byuti" aliitamka ile siku feisal salum alipofunguka goli kali yanga ilipocheza na simba ktk dimba la ccm kirumba, mwanza.ilikuwa ni ktk mechi ya federation.
https://youtu.be/wt8QdVa6RDQ

View attachment 2312646
 
Kabwiri Kabwiri == Byuti Byuti
Ideolojia na theolojia vimekutana
 
Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu

Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
Jinyeeni mjipake

Muonekane vzr

Vinyeo fc
 
Ata msemo wenu pendwa utopolo umetoka kwa mshabiki wa Yanga kuonesha yanga iko vzr kwenye ubunifu leo kla mwana Simba antamka neno utopolo ila mmiliki wa neno lenyewe utopolo ni mwana Yanga
 
Ata msemo wenu pendwa utopolo umetoka kwa mshabiki wa Yanga kuonesha yanga iko vzr kwenye ubunifu leo kla mwana Simba antamka neno utopolo ila mmiliki wa neno lenyewe utopolo ni mwana Yanga
wewe ni byuti byuti? 😂😂😂
 
Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu

Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
Goli la feisal dhidi ya makolo ulibwanji pale kirumba ndo limetupa jina hiloo ktk tamasha letu!!ukiona mtu anakereka na jina hilo ujue ni makolo fc
 
Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu

Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
mwenye video ya lile goli la mwamba Feisal dhidi ya wake zetu makolo FC alitume tumsikie mzungu akisema "byuti byuti"x2
 
Back
Top Bottom