Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejì"

Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejì"

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu.

Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
 
So jana utopolo wakaua mwenyeji 0-3!

Hizi slogan sio kujiokotea maneno tu na kuyaunganisha ili utengeneze sentensi...

Slogan ni kutafuta maneno yatakayoendana na uhalisia, kama ilivyo "Kwa Mkapa hatoki mtu".

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom