"Slums" ni nini? Wakenya naomba mnisaidie!

"Slums" ni nini? Wakenya naomba mnisaidie!

Slums in Africa zinaongoza Africa kusin mji anaoitwa soweto
 
Nitawapa the proper definition and characteristics of slums.
 
Ok nishaelewa nimekuwa nkisikia watu wakisema Nairobi kuna "slums "nyingi kuliko mji wowote duniani
750f1ac61bea3a439a3d3b81c4705d6f.jpg
 
Wabongo wanabishana na Nairobi, Kenya haijengi Nairobi tu. Mbali sana hadi Nanyuki mamboo ni mazuri Kenya

Cheki a castle hotel in Nanyuki
nanyuki-simba-lodge-3154-7d7a2001fefb6ed3f51332503499651999029e4d.jpg
 
Wala sio neno linalotumika Kenya tu...nilisoma sana hilo neno chuo kwenye course ya Settlement
 
Nimekuwa nikikutana na hili neno "slums" kila nikisoma habari za kenya hasa hasa kuhusu mji mkubwa uliojengeka kimiundombinu East Africa yote Nairobi.

Naombeni jirani zangu wakenya mnieleweshe maana ya hilo neno
Sehemu zilizo na miundomsingi duni kama Bagamoyo Tandale na kadhalika
 
Wabongo wanabishana na Nairobi, Kenya haijengi Nairobi tu. Mbali sana hadi Nanyuki mamboo ni mazuri Kenya

Cheki a castle hotel in Nanyuki
nanyuki-simba-lodge-3154-7d7a2001fefb6ed3f51332503499651999029e4d.jpg
Hilo nakubali kabisa wakati Watanzania wanawaza Dar tu hawajui Arusha haiingii kwa Kisiii au Mwanza haiikaribii Nakuru au Mbeya haiwezi kuifikia Eldoret

Kenya wanasonga sisi twalala kama sio Kilimanjaro na Arusha maeneo mengine ya vijijini Tanzania hakuna Matumaini tofauti na Kenya
 
Back
Top Bottom