Smart911 and mahondaw live on muosha rungu TV show!!?

Smart911 and mahondaw live on muosha rungu TV show!!?

Pole sana rafiki siasani ni ngumi mkononi kuleeeee huku ndo kutamu asee hapa kati palinogajee.. Warmly welcome na asante sana rafiki



Mahondaw wa Smart911
Yep,,niliona kila kitu my dia,,na nilikushauri sana kuwa achana nao[emoji23][emoji23][emoji23],,, mti wenye matunda.................
 
Usiwe mnafiki sema asiniquote mimi Aleppo maana huyo culture gal ata simtaki wee mtongoze tu sina wivu usisafirie nyota yangu

pambana na hali yako na usiniseme kimafumbo

watafute michepuko yako

cc espy Khantwe na wengineo

uniache mimi na mate wangu mahondaw usije ukaingilia barabara yangu wewe pita kivyako
Shika adabu yako mimi mchepuko wa nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua sipo jukwaa la wakubwa ,,sijui nani kanitoa huko
Heeeee
Mod gani alikutokea ukamkataa mpaka umetolewa?
Ila wala sio ishu, mapya mapya kama enzi zile hakuna.
Tubanane hapahapa MMU tuchukue ma-style ya kubinuka
 
Back
Top Bottom