Smart911 and mahondaw live on muosha rungu TV show!!?

Aisee

DJ sepetu
Oya aise huez tafuta watu wengine wa kuwafanyia interview...naona kama unafanya waonekane wanabembelezwa bembelezwa vipi man bwana weeh umaarufu hautafutwi kwa stail hii halaf mbona wengine umewafanyia hizo interview na walikua wana respond maswal waliokua wanaulizwa? Hawa unawapa umaarufu usio wa lazima

What goes around always comes around
 
Cc mahondaw
Smart 911

Poa man yani unajuaga nn members wengine sh.o.bo babake
Ila Peace and love
Kesho inadondoka interview Kali sana!
Unakosaje kwa mfano mwana!

DJ sepetu
 
Kumbe MO11 mchaga!!! Basi naomba talaka.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Asa talaka ya nini mwenza?
Unajua mchaga mjanja wa kutafuta pesa tu, ila kwenye kutumia yuko kama hayawani mbele ya mwanamke.
Usiondoke mwenza, njoo tumchune na kumparasa mume MO11.
Zikiisha atapata akili mpya ya kutafuta
 
Back
Top Bottom