Smart911 and mahondaw live on muosha rungu TV show!!?

Pole sana rafiki siasani ni ngumi mkononi kuleeeee huku ndo kutamu asee hapa kati palinogajee.. Warmly welcome na asante sana rafiki



Mahondaw wa Smart911
Yep,,niliona kila kitu my dia,,na nilikushauri sana kuwa achana nao[emoji23][emoji23][emoji23],,, mti wenye matunda.................
 
Shika adabu yako mimi mchepuko wa nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua sipo jukwaa la wakubwa ,,sijui nani kanitoa huko
Heeeee
Mod gani alikutokea ukamkataa mpaka umetolewa?
Ila wala sio ishu, mapya mapya kama enzi zile hakuna.
Tubanane hapahapa MMU tuchukue ma-style ya kubinuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…