Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 964
- 181
ndio mkuu, karibu sanaMsystem yako inauwezo wa kuunganishwa na VFD(virtual fiscal device) ya TRA ?
Inafaa pia kama unatoa Services, kunamodule ya service ipo tayari kwenye mfumo unaweza kuenable kama unatoa huduma/ services.Services inafaa, au ni goods oriented businesses tuu?
Mfano Niko na duka la rejareja la nafaka na bidhaa za kawiada za nyumban...hii program yAko inafaaje hapo..na unaunganisha vipi na hizo bidhaa kwamba nikiuza Basi unajirekod yenyewe..na nikinunua bidhaa itajuaje na kurekodi yenyewe !? Plus wale wanaokopa itawatambuaje na kuwafutailia kulipa madeni yao!?Pata Mfumo Wa Kijanja
utakaokusaidia kufahamu stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta.
Habari Akili Tatu, Asante kwa maelezo yako. Mfumo wa SmartDuka Pro unauwezo wa kufanya yote hayo bila kuwa natatizo kabisa unamodule ambazo zitakusaidia kuweza kuongoza hata kama ni Duka la Nafaka au Rejareja pasipo kuwa na tatizo lolote utapewa msaada wakati ukiendelea kutumia mfumo wetu kama utakua unapata tatizo kutoka kwa timu yetu ya msaada usisite kuwasiliana nasi kwa kutupigia simu kwa namba 0621454246. AsanteMfano
Mfano Niko na duka la rejareja la nafaka na bidhaa za kawiada za nyumban...hii program yAko inafaaje hapo..na unaunganisha vipi na hizo bidhaa kwamba nikiuza Basi unajirekod yenyewe..na nikinunua bidhaa itajuaje na kurekodi yenyewe !? Plus wale wanaokopa itawatambuaje na kuwafutailia kulipa madeni yao!?
ndio mkuu, karibu sana
Yote hayo utatayapata ndani ya mfumo mmoja pasipo kuwa na tatizo mkuu. Usisite kuwasiliana nasi mahitaji demo version ipo; msaada zaidi wasiliana nasi kwa kutupigia simu / sms kwa namba 0621454246 au WhatsApp; 0711414246Je, mfumo unaweza kuwa configured kwa shughuli tofauti kwa jina moja la kampuni , mfano garage uwe una track job order cost i.e. gharama kwa kila gari, halafu stock system kama unauza spares, na mapato mengine kama car wash. Unaweza kufunga mahesabu ya mwaka? Mna demo version?
Mfumo wa SmartDuka Pro ni Web base system + Android App.Ni web based system ama ni executable software?