SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Mauzo ya bidhaa.​

"Uza, bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
 
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
 
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa
 
Habarini za Jumapili wanaJF Karibuni SmartDuka Pro kwa huduma bora zaidi.
 
Ongoza biashara yako popote ulipo duniani.​

Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakaguamazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea dukani kwako, bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire) etc.

Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.
 
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa
 
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya Tsh TSh 72,000 Kwa Mwaka Mzima.
PIGA/ UJUMBE/ WhatsApp: 0711414246 / 0621454246

NOTE: Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Mkuu hebu tuzunguze lile suala la ssl certificates ulinambia mna provide huduma naomba maelezo ya kufuata
 
Habari Mkuu, Ndio tunatoa huduma pia ya SSL Certificates, .tz Domain Registration pamoja na Huduma za hosting kuanzia Tsh 4,000/= Kwa Mwezi. CALL/ SMS: 0621454246
 
Mauzo ya bidhaa.​

"Uza, bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
 
Ungetengeneza account yanye functionality zote ikawa na pwd mtu akitaka kufanya demo afanye huko
 
Back
Top Bottom