SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

NOTE: Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

Fashion & Clothing
Departmental Stores
Medical and Pharmacy
Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
Salon & Spa
Home Appliances & Digital
Restaurants & many more
Retails and WholeSale

CALL: 0621454246 /0711414246
 
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.

Wasiliana nasi: 0621454246 au 0711414246
 
Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale
 
Mfumo wa SmartDuka Pro unakuwezesha kurekodi bidhaa zako zote pamoja na stoku zake, Pia mauzo yako yote huku ukiona ni bidhaa zipi zinakaribia kuisha na zipi zimeisha.

Ukiwa na mfumo wa SmartDuka Pro hakuna siku bidhaa zako zitaisha bila wewe kujua au kupata taarifa bidhaa ipi mzigo (stoku) inakaribia kuisha.
 
Usikubali kuendesha biashara yako kwa stress! Chagua SmartDuka Pro ujionee utofauti. Kujua zaidi kuhusu huduma zetu na ofa zetu zilizopo, Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246.
 
Sioni faida Wala umuhimu wa hizi apps kwa sababu ukimwacha mfanyakazi, mfano akitoa bidhaa na asipojaza si Yale yake tu
 
Sioni faida Wala umuhimu wa hizi apps kwa sababu ukimwacha mfanyakazi, mfano akitoa bidhaa na asipojaza si Yale yakha
Sioni faida Wala umuhimu wa hizi apps kwa sababu ukimwacha mfanyakazi, mfano akitoa bidhaa na asipojaza si Yale yake tu
Habari, ukipata wasaa wakufuatilia au kupata elimu kuhusu hii mifumo ya POS na Accounting utaweza kujua kwa kiasi gani inaumuhimu katika biashara kubwa na ndogo.
 
Back
Top Bottom