SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Mfumo utakusaidia kuingiza taarifa za wateja wako, na kufuatilia manunuzi ya wateja wako na malipo wanayofanya.
 
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
 
Mfumo wa SmartDuka Pro unakuwezesha kurekodi bidhaa zako zote pamoja na stoku zake, Pia mauzo yako yote huku ukiona ni bidhaa zipi zinakaribia kuisha na zipi zimeisha.

Ukiwa na mfumo wa SmartDuka Pro hakuna siku bidhaa zako zitaisha bila wewe kujua au kupata taarifa bidhaa ipi mzigo (stoku) inakaribia kuisha.
 
Usikubali kuendesha biashara yako kwa stress! Chagua SmartDuka Pro ujionee utofauti. Kujua zaidi kuhusu huduma zetu na ofa zetu zilizopo, Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246.
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Karibu huduma inaendelea 0711414246 / 0621454246
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu.
 
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa
 
180,000 kwa mwaka ni kubwa sana biashara zetu zenyewe hizi na muuzaji hajakuibia.
Mi natumia Kuza Business natoa 90,000 kwa mwaka na inaruhusu kuweka branch la duka kama ukifungua lingine
 
180,000 kwa mwaka ni kubwa sana biashara zetu zenyewe hizi na muuzaji hajakuibia.
Mi natumia Kuza Business natoa 90,000 kwa mwaka na inaruhusu kuweka branch la duka kama ukifungua lingine
Asante mkuu kwa maoni yako mkuu ungepitia mfumo wetu pia ulete maoni yako, Gharama inaendana na features za mfumo mkuu na mahitaji ya mteja.
 
Badala ya kutumia madfar au makaratasi katika kutunza records / kumbukumbu zako za biashara na kimahesabu ambapo muda mwingine yanaweza kupotea.

SmartDuka Pro ikusaidia kutunza record Kidigitali zaidi.

Pia unaweza kuona mauzo, matumiz na faida katika biashara yako kupitia mfumo wetu huu.
 
Usisumbuke wala kuumiza kichwa chako kutatua changamoto katika usimamizi wa biashara yako, SmartDuka Pro ipo kwa ajili yako.
Kwa msaada au maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246
 
Pata mfumo wa kijanja utakaokusaidia kufahamu stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta.
 
Tuna amini wafanyabiashara mbalimbali wanakumbana na changamoto za kuhifadhi kumbukumbu za mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika.

SmartDuka Pro inawezesha mfanyabiashara kuhifadhi taarifa hizo na nyingine nyingi kwa urahisi zaidi.
 
Wakati mnaendelea kutafuta wateja wapya Rai yangu mngejishughulisha pia kuhudumia vizuri wateja tulioshawishika awali kuwa wenu.. kwa kutatua changamoto kadha wa kadha tunazoziripotia kwenu na hata Hamuitikii inavyofaa wala kwa wakati…
 
A

Asante sana mkuu kwa maoni yako tutayafanyia kazi mkuu. Tunafurahi kwa kuwa mteja wetu kwenye mapungufu tutajitahhidi kurekebisha.
 
Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale
 
Back
Top Bottom