SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Nina maswali..
Mpo Dar, mteja yupo Mkoani
1. Gharama ya kumfata mteja ni ya nani?
2. Kwasasa gharama zenu za mfumo zikoje @ bei?

#YNWA
Samahani kwa kuchelewa kureply njia nzuri na ya haraka ni kutupigia simu au WhatsApp.

Unaweza kutumia mawasiliano yako kwa mazungumzo ya Gharama za kumfuata mteja mkoani sababu inategemea na mkoa uliopo.

Gharama za mfumo wetu wa Shared zinaanzia 180,000/= paka 540,000/= unaweza kutugoogle, SmartDuka Pro utaona website yetu kisha ingia sehemu imeandikwa Pricing utaingia utaona kunavifurushi vya aina tatu pamoja na features zake kwa kila kifurushi/ package.
 
Fuatilia stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta. Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 au 0621454246
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.

Tumia mfumo wa SmartDuka Pro
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Anza mwaka 2025 kwa kishindo ukiwa na usimamizi bora wa biashara yako kwa kutumia mfumo bora wa SmartDuka Pro.

Jiunge leo upate ofa ya punguzo la hadi 30% leo.

Tembelea www.smartdukapro.com kujiunga na mfumo wetu, kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Mauzo ya bidhaa.

"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

Fashion & Clothing
Departmental Stores
Medical and Pharmacy
Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
Salon & Spa
Home Appliances & Digital
Restaurants & many more
Retails and WholeSale
 
Fuatilia stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta. Wasiliana nasi kwa namba 0711414246 au 0621454246
 
Je una miliki biashara na unapata changamoto katika usimamizi wa biashara yako?

Je umeikuwa ikikulazimu kutembelea duka lako mara kwa mara kufuatilia mauzo, na kujua bidhaa zilizouzwa, zilizoisha na zile zilizobakia? pamoja na faida iliyopatikana? Suluhisho ni moja tuu SmarDuka Pro ni mkombozi wako namba moja kuhakikisha unasimamia biashara yako kwa weredi zaidi.
 
Pata Mfumo Wa Kijanja​

utakaokusaidia kufahamu stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta.
 
unnamed.jpg

Our Happy Client kwa Mawasiliano wasiliana nasi sasa kwa huduma au maulizo zaidi kwa namba 0711414246 au 0611554246
 
Tumia mfumo wa SmartDuka Pro, Epuka hasara na upotevu wa taarifa na kumbukumbu za mauzo, manunuzi, mapato na matumizi.
 
unnamed (1).jpg

Our Happy Client kwa Mawasiliano wasiliana nasi sasa kwa huduma au maulizo zaidi kwa namba 0711414246 au 0611554246
 
Mauzo ya bidhaa.

"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
View attachment 1709138

​

Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.

Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.

Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya TSh 180,000 Kwa Mwaka Mzima.

NOTE: Gharama ya Ofa ya Tsh 72,000/= imekwisha muda wake kwa sasa haipatikani.

PIGA/ UJUMBE/ WhatsApp: 0621454246

NOTE: Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale

View attachment 1709139

View attachment 1709137

Hii ni safi sana mkuu. Imekaa kitaalamu na malipo yake ni nafuu sana. Je ni malipo ya papo kwa hapo au mtu anaweza kulipia mfano kila mwezi kidogo kidogo au akalipia kwa awamu mbili. Nipe ufafanuzi hapa.
 
Habari za leo samahani kwa kuchelewa kutoa update. Kwa msaada wa haraka namba zetu ni 0711414246 au 0621454246.

Tunaruhusu mteja kulipa kwa hawamu mbili tu vifurushi vyetu vyote ni vya mwaka mzima tu.
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Back
Top Bottom