Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakagua mazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea kwenye biashara yako au dukani kwako kwa kufuatilia mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika., bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire).
Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.