SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Usisumbuke wala kuumiza kichwa chako kutatua changamoto katika usimamizi wa biashara yako, SmartDuka Pro ipo kwa ajili yako.
Kwa msaada au maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246
 
Je unamiliki Duka la Vinywaji?

Nakushauri kutumia mfumo wa SmartDuka Pro.

- Utakusaidia kufuatilia mauzo, matumizi, manunuzi, faida au hasara.

- Pia utaweza kutoa risiti kwa wateja wako pia kutengeneza Invoice.

- Mfumo utakujulisha endapo kuna bidhaa inakalibia kuisha au kuharibika.

- Mfumo utarahisisha kutengeneza ripoti ya biashara yako ikiwepo kuona thamani ya stoku yako, faida, hasara. Nk

- Mfumo utakusaidi kufuatilia mikopo watu unaowadai na hata kutunza kumbukumbu za mikopo yako.

- Mmiliki ukiwa mbali utaweza kuangalia mauzo yote kwenye simu yako.

NOTE:

Ukitunza kumbukumbu kwenye daftari unatumia muda mwingi sana na sio salama pia.

GHARAMA

Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya kuanzia TSh 180,000/= Kwa Mwaka.

Kwa msaada au maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246
 
Je una miliki biashara na unapata changamoto katika usimamizi wa biashara yako?

Je umeikuwa ikikulazimu kutembelea duka lako mara kwa mara kufuatilia mauzo, na kujua bidhaa zilizouzwa, zilizoisha na zile zilizobakia? pamoja na faida iliyopatikana? Suluhisho ni moja tuu SmarDuka Pro ni mkombozi wako namba moja kuhakikisha unasimamia biashara yako kwa weredi zaidi.
 
Fuatilia hesabu kwenye sehemu zako zote za biashara. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro kuendesha biashara yako kisasa zaidi.
 
Pata ripoti za mauzo, manunuzi na matumizi wakati wowote unapotumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Je unamiliki Duka la Vinywaji?

Nakushauri kutumia mfumo wa SmartDuka Pro.

[emoji3581] Utakusaidia kufuatilia mauzo, matumizi, manunuzi, faida au hasara.

[emoji3581] Pia utaweza kutoa risiti kwa wateja wako pia kutengeneza Invoice.

[emoji3581] Mfumo utakujulisha endapo kuna bidhaa inakalibia kuisha au kuharibika.

[emoji3581] Mfumo utarahisisha kutengeneza ripoti ya biashara yako ikiwepo kuona thamani ya stoku yako, faida, hasara. Nk

[emoji3581] Mfumo utakusaidi kufuatilia mikopo watu unaowadai na hata kutunza kumbukumbu za mikopo yako.

[emoji3581] Mmiliki ukiwa mbali utaweza kuangalia mauzo yote kwenye simu yako.

NOTE:

Ukitunza kumbukumbu kwenye daftari unatumia muda mwingi sana na sio salama pia.

GHARAMA

Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya TSh 180,000/= Kwa Mwaka.

NAUPATAJE ?

Kwa msaada au maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0711414246 / 0621454246
 
Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakagua mazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea kwenye biashara yako au dukani kwako kwa kufuatilia mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika., bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire).

Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.
 
Kama bado unaangaika kutafuta suluhisho bora kwa ajili ya kuendesha na kusimamia Biashara au Duka lako, ni kwamba hujachelewa.

SmartDuka Pro itakurahisishia shughuli zote za biashara ikiwemo swala la kupata ripoti za mauzo, manunuzi, matumizi, faida au hasara wakati wowote mahali popote ukitumia Kompyuta, Tablet au Simu janja yako iliyounganishwa na internet.
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Mauzo ya bidhaa.


"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
INVENTORY


Mfumo utakusaidia kufanya hesabu ya stock yako,mfumo utakusaidia kufanya hesabu ya duka zaidi ya moja
 
SALES / EXPENSES


Mfumo utakusaidia kufanya mauzo kwa kutumia barcode scanner na pia kutoa risiti.
 
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa.
 
SmartDuka Pro unakuza na kuleta faida.


Mfumo utakusaidia kuhamisha stock sehemu moja kwenda nyingine . Mfumo utakusaidia kujua mauzo ya siku, wiki, mwezi na mwaka. Mfumo utakusaidia kuprint barcode kwa ajili ya bidhaa zako. Mfumo unatoa risiti za mauzo.
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
IMG_20220621_133224_563.jpg
 
Epuka hasara, Okoa muda na Upotevu wa taarifa za mauzo na manunuzi. Tumia mfumo wa SmartDuka Pro.
 
Huna haja ya kuandika nakurekodi Mauzo yako katika daftari! SmartDuka Pro, ipo kwa ajili yako.
 
Kama wewe ni mmiliki wa Duka la Dawa au Pharmacy nakushauri kutumia mfumo wa SmartDuka Pro. Utakusaidia ku recod mauzo, mapato, matumizi, manunuzi, faida na hasara.

Pia utaweza kutoa risit kwa wateja wako pia kutengeneza Invoice. Mfumo utakujulisha endapo kuna bidhaa inakalibia kuisha dukani au bidhaa inakaribia kuisha muda wake wa matumizi (expire).

Mfumo utarahisisha kutengeneza ripoti ya biashara yako ikiwepo kuona stock yako, Mfumo utakusaidi kufuatilia mikopo watu unaowadai na hata kutunza kumbukumbu za mikopo yako wewe.

Mmiliki ukiwa mbali utaweza kuangalia mauzo yote kwenye simu yako.
 
Mfumo wa SmartDuka Pro unakuwezesha kurekodi bidhaa zako zote pamoja na stoku zake, Pia mauzo yako yote hku ukiona ni bidhaa zipi zinakaribia kuisha na zipi zimeisha.

Ukiwa na mfumo wa SmartDuka Pro hakuna siku bidhaa zako zitaisha bila wewe kujua au kupata taarifa bidhaa ipi mzigo (stoku) inakaribia kuisha.
 
Back
Top Bottom