Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 964
- 181
- Thread starter
-
- #321
Sioni faida Wala umuhimu wa hizi apps kwa sababu ukimwacha mfanyakazi, mfano akitoa bidhaa na asipojaza si Yale yakha
Habari, ukipata wasaa wakufuatilia au kupata elimu kuhusu hii mifumo ya POS na Accounting utaweza kujua kwa kiasi gani inaumuhimu katika biashara kubwa na ndogo.Sioni faida Wala umuhimu wa hizi apps kwa sababu ukimwacha mfanyakazi, mfano akitoa bidhaa na asipojaza si Yale yake tu