Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kunamakundi mawili Kunasubscription and onetime payment kwa ujumla wajasiliamali wadogo na wakati wengi wanashindwa kumudu gharama ya kununua moja kwa moja hivyo tukaleta gharama ambayo wengi wanaweza kuimudu.Kwa nn uwe unalipia kila mwaka, kwa nn msiweke bei ya kununua kimoja mambo ya kila mwaka si usumbufu