Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Mkuu chief-mkwawa hongera sana na ubarikiwe, kuna kitu kimoja hebu nifahamishe, nahitaji hizi video ninazorushiwa kupitia whatsapp niweze kuingiza ndani ya simu yangu, nokia lumia 900
 
Last edited by a moderator:

kwani haziingii? kuingia zinawezekana lakini zitakaa katika folder la whatsapp tu, ina maana siku nyengine ukitaka kuja kuziangalia itabidi urudi whatsap kuziangalia
 
nifahamishe ntazipata vipi na ilo folder la whatsapp lipo wapi
 
huwezi kuliona folder la whatsap, yani ni hivi.

mimi nimekutumia video then wewe unaidownload kwenye whatsapp. next time ukitaka kuiona ile video inabidi uje kwenye chating yetu then ufungue uitafute tena ile video ndio uplay.
 
mkuu chief mkwawa mi natatizo la na simu yangu nokia xl.hili tatizo limeanza kama miezi miwili iliyopita.nilikuwa nimeichomeka nasikiliza mziki kwenye sabufa.ghafla simu ikazima na nilipoiwasha nikaichomeka kwenye sabufa ikagoma kutoa mziki I mean kuanzia hapo sehemu ya kuchomekea earphone ikawa hai function tena so nikichomeka earphone siskii kitu.kutoka siku hiyo simu inapata sana moto na charge inaisha kwa kasi sana sometimes ndani ya masaa mawili tu hata kama nimeiwasha tu lakini haipo kwenye matumizi mwanzoni haikuwa na hilo tatizo.pili inatumia mda mrefu sana battery kujaa na inapata moto mpaka wakati mwingine inajizima.msaada niifanyaje hii simu kutatua tatizo mi nipo morogoro hapa
 
vp ubora wa Huawei G630,zinafaa?

kama utaipata chini ya laki tatu sio mbaya, ila ikizidi laki 3 go for moto g.

G630 ina kioo cha hd wakati processor yake ni snapdragon 200 sawa na y530 hivyo simu haitakuwa fasta, pia ina internal ya 4gb tu, kwa simu ya zaidi ya laki 3 haipendez kuwa na storage hio.
 
Thanks! unaizzungumziaje tecno A (F7) phantom!!
 
kaka mimi huwa simshauri mtu yeyote kununua simu ya mediatek. Na hata ingekuwa si ya mediatek bado specification zake ni ndogo ukicompare na moto g.

Moto g ni quadcore 1.2ghz cortex a7 wakati f7 ni dual core 1ghz cortex a7 hivyo moto g ipo fast zaidi ya mara 2 ya f7.
 
Chief VP ubora wa galaxy s3 neo ukilinganisha na galaxy s4 min binafsi Huawei y300 ndio ninayotumia lkn naona ina stuck sana Nina mpango wa kubadili
 
Back
Top Bottom