Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

HTC simu nzr lkn kwnye suala la battery capacity nikimaanisha utunzaji wa charge mbovu
 
huawei y550 ni bei gani kwa hapa bongo ?
 
naomba unisaidie simu ya line 2 dual sim yenye ubora smartphone android isizidi laki 5. Napendelea sana huawei na nokia hata kama kuna aina nyingine poa.

Umeshawahi kuona Lumia? Maana Nokia za siku hizi si kama za zamani,

Kuna Lumia 640 na 640xl zenye 4g lte na dual sim Ni nzuri kwa budget yako.

Hio xl Ni kubwa na Ina camera nzuri na battery kubwa ila vitu vyengine vinafanana.

Simu nyengine nzuri ya kuangalia Ni Moto g 3rd generation. Hii inatoka mwezi huu huu nayo itakua Ni simu nzuri sana.

Kwa huawei unaweza tafuta flagship zao za zamani kama p6 au p7 unaweza zipata kwa budget hio.

Pia angalia simu hizi ukizipata kwa budget hio usiziache
-galaxy s5
-LG g2
-galaxy note 3
 
naomba unisaidie simu ya line 2 dual sim yenye ubora smartphone android isizidi laki 5. Napendelea sana huawei na nokia hata kama kuna aina nyingine poa.

Waweza kuni PM pia kuna smartphones nzuri sana Chinese brands, bei kuanzia 250000 Quad core,2 lines,two camera etc.
 
Mkuu Chief-Mkwawa naomba unisaidie current smartphone nzuri kwa 250,000-300,000.

Asante
huawei p8 lite tafuta, japo haikai sana na charge ila vitu vyengine ipo vizuri sana kama camera, cpu, ram etc

kama charge ni priority tafuta redmi 3 au redmi 4 za xiaomi ila hii ni mpaka kuagizia, kenya zinapatikana na wapo wadau humu pia wanaagizishia.
 
Shukrani mkuu, simu za kuagiza huwa zinanishinda. Je kuna option nyingine tofauti ya Huawei make napenda simu inayotunza charge sana.
 
Shukrani mkuu, simu za kuagiza huwa zinanishinda. Je kuna option nyingine tofauti ya Huawei make napenda simu inayotunza charge sana.
hio y6 pro aliokutajia jamaa hapo juu kama utaipata kwa bei hio itafaa, inakaa na charge lakini perfomance yake na matumizi kwa ujumla yatakuwa sio mazuri kama hizi nilizokutajia.
 
Wadau nina laki na nusu naweza pata simu gani mi napenda kuangalia movies on line kama mtu ana used pia poa
 
Shukrani mkuu, simu za kuagiza huwa zinanishinda. Je kuna option nyingine tofauti ya Huawei make napenda simu inayotunza charge sana.
Mkuu ninayo hii Redmi note 3.....2gb ram,16gb rom....rangi ya silver sema naona bei haitaangukia kwenye budget yako...kama unaweza kuongeza ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…