Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

hyo lumia 630 bei gan mkuu
 
Vp kuhusu nokia xl?
sababu mi napenda sana dual phone
kama kuna dual phone nyingine ya wp au android unaweza nielekeza
chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:

Actually samsung ndiyo viongozi wa kucheat kwenye benchmark tests, clone huwa zina fake benchmark apps ila ukidownload mwenyewe unapata the real test.

anyway what i was trying to say ni kwamba all chips zina weakness zake not only mediatek, hata exynos kupoteza imei au emmc kucorrupt(sudden death syndrome) kwenye samsung ni common problems. mediatek pia japo wana tatizo la imei it all depends on the manufacturer wa simu yenyeye, the new mediatek chips ziko poa tu in performance ndiyo maana makampuni mengi yanatengeneza simu za mediatek now including sony, huawei, htc hata kuliko broadcom na exynos although the best option itaendelea kuwa qualcomm snapdragon.

kitu kingine unaposema cortex A7 ni ya zamani, qualcom snapdragon 400 baadhi zipo based on A7 architecture running upto 1.6ghz na ni nzuri ila ni budget friendly which is good for a budget friendly phone huwezi expect simu cheap kuwa na cortex A15
 
Vp kuhusu nokia xl?
sababu mi napenda sana dual phone
kama kuna dual phone nyingine ya wp au android unaweza nielekeza
chief-mkwawa

-dual phone ya wp ni lumia 630,
-hio xl nzur ila ustegemee perfomance ya kushtua
-moto e pia ni dual sim
 
Last edited by a moderator:

snapdragon 400 inarun either dualcore 1.7ghz cortex a15 mfano lumia 1320 au quadcore 1.2ghz cortex a7 mfano motog na lumia 630. simu za hapo juu zina snapdragon 200 na sio 400 na ni dualcore sio quadcore so ni sahihi kuziita dhaifu sababu zipo simu za bei rahisi.

pia tayari tumeshaona xperia m, galaxy s duos 2, lumia 520, 620, 625, zote zina krait (s duos ina cortex a9) so kama simu za chini zina processor kubwa hivyo wengine wakieka cortex a7 inabidi tuieke kama weakness
 
See msm8228
 
Mkuu Chief, hii moto g kwa dar naweza kuipata duka gani na kwa bei gani? Nimeona ina GSM na CDMA kwa maana hiyo unachagua utumie gsm au cdma? Alafu vipi kuhusu battery ikifa unafanyaje, na vipi kwenye umadhubuti wa picha ukilinganisha na Lumia 520.
 
Hyo moto g iko vizuri. Hata mimi sijajua kwa bongo ni bei gani.
 
Hiv wakuu kwa bajet ya 200000 vip naweza kupata smartphone yenye camera ya ukweli
 
Mkuu Chief, hii moto g kwa dar naweza kuipata duka gani na kwa bei gani? Nimeona ina GSM na CDMA kwa maana hiyo unachagua utumie gsm au cdma? Alafu vipi kuhusu battery ikifa unafanyaje, na vipi kwenye umadhubuti wa picha ukilinganisha na Lumia 520.

kwa bei ya dubai takriban laki 4 inafanya moto g isinunulike bongo. Jamaa wana suply mbovu.
battery yake ni nzur na inabadilishika ,kuhusu camera sijaangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…