Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
mm nimeshawiahika saanaa na HUAWEI ASCEND G700..... sidhani kama nitakuwa na nyingine ya kunibadili mawazo. niliangali comparison ya G700 na IPHONE 5S... nikaridhika saanaa. nakingine ni kuwa kwangu mm iphone na blackberry sizipi kipaumbele hata kidogo. my personal interests... ahsante chief-mkwawa kwa trend iliyonifanya ni google saana kuhusu simu... coz kiukweli nilijikuta hata simu ninayoitumia Techno M7 sikuwa najua hata specs zake... for me this was and still be a class. it costs nothing to say all these.
Kaka PDF mm natumia huawei G700 ni simu nzuri sana aisee hutajutia
Last edited by a moderator: