kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,334
- 527
kujua specs ni suala jingine na kujua terminologies... effects... details and approvals ni kitu kingine... thats why unakuta kwenye ujenzi wa barabara kuna engineers(consultants) na contractors.... specs tuu hazitoshi... ndipo pale anapohitajika experienced and skilled person kukuelekeza zaidi ya kufuata specs... kama tunapata mtu anayeyajua haya kwa undani... tunamuomba atueleze japo tuki google.. majibu pia yapo. sometimes hakuna sababu ya ku google kitu ambacho sio fani yako wkt wataalamu sanifu na washauri kama chief-mkwawa wapo. of which akitaka details kuhusu umeme...generators... solar... sat dishes na such related matters.. akiniuliza....duuuuh ntatiririka mbaiiiyaaa.. hapa niliwaza anipe direct contacts... lakini pia hii ndio maana halisi ya forum.... chief usichoke kaka.. regards to all
Mkuu shida yangu mimi hivyo vifaa vya solar namna ya kuvitambua orijino na feki kwa mfano hivi:-
Betri, panel na charger control naomba msaada wako!
Last edited by a moderator: