DROSOPHILA
Member
- Jan 21, 2014
- 8
- 0
AISEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!yaan m ndo sielew kabse knachoendelea.duh kwel nipo out of time.ila no!muda bado.NAPITA TUU WAKUBWA endeleen.ila huyu wa kuitwa CHIEF MKWAWA.anatisha vbaya vbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHIEF MKWAWA kwa uzoefu wako mkuu lumia 520 na 525 ipi nzuri.
lumia 525 nzur ina 1gb of ram
yaani hapo ndio napowashangaa wafanyabiashara wetu... maana juzi kati nilimaliza maduka yooote ya posta bila hata chembe ya mafanikio nikitafuta Motorolla Razr.
maana ni simu ina specs nzuri sana (kwa upande wangu).
kama kuna mtu anajua upatikanaji waje anijuze
je inakubal mpesa?na huduma kama hizo?
Hakuna smartphone ambayo ipo slow kwenye net. Ni kisingizio tu makosa yao wanaisingizia simu. Mfano kwa tanzania modem nyingi ni 3.6mbps na 7.2mbps. Simu nyingi siku hizi zina 21mbps ambayo ni karibia mara 7 ya modem. So kama simu ina speed mara 7 ya modem je anaesema simu yangu ipo slow aelewekeje?
kama utaona simu net ipo slow ujue eneo lako halina 3g, au wewe mwenyewe hujaeka 3g au kifurushi chako hakina speed au mtandao wa simu unaotumia upo slow.
Nawekaje 3G kwenye simu yangu? Yangu inadisplay E na sio 3G. Natumia simu aina ya
itel
Hakuna smartphone ambayo ipo slow kwenye net. Ni kisingizio tu makosa yao wanaisingizia simu. Mfano kwa tanzania modem nyingi ni 3.6mbps na 7.2mbps. Simu nyingi siku hizi zina 21mbps ambayo ni karibia mara 7 ya modem. So kama simu ina speed mara 7 ya modem je anaesema simu yangu ipo slow aelewekeje?
kama utaona simu net ipo slow ujue eneo lako halina 3g, au wewe mwenyewe hujaeka 3g au kifurushi chako hakina speed au mtandao wa simu unaotumia upo slow.
Nawekaje 3G kwenye simu yangu? Yangu inadisplay E na sio 3G. Natumia simu aina ya
itel
mkuu kama inaadika E it means eneo ulilopo hakuna 3g
niliwahi kuandika thread kama hii kuhusu simu za bei rahisi za android mwaka 2012 lakini sasa hv imepitwa na wakati na siku zimesogea mbele watu wameomba ile thread tuiupdate ili waweze kufanya maamuzi tena. nimeona nichague simu best za windows phone na android ambazo ni za bei rahisi (chini ya laki 3) ambazo unaweza kutumia ukapata perfomance kubwa kiasi usahau kama ni simu ya bei rahisi nimetumia vigezo vifuatavyo
1. power ya simu -interms ya processor, ram na gpu
2. support- kama itakua updated kwenda version nyengine
3. camera
4. storage
5. battery
6. display
7. weakness zake
mambo kama speed ya internet yamepitwa na wakati simu zote sku hzi zina hspa hivyo speed ipo kama simu ipo slow ni wewe eneo ulipo na mtandao wako ndio munahusika.
hizi hapa ndio simu za bei rahisi nilizokusanya.
nokia lumia 520
kama hujali kutotumia android huwezi pata simu bora zaidi ya lumia 520 kwa bei rahisi, imeuza unit zaidi ya milioni 25 naweza kusema ndio simu maarufu ya bei rahisi zaidi duniani.
![]()
why ununue hii simu?
1.power- ina processor kubwa kabisa ya s4 snapdragon 1ghz dualcore krait cortex a15, ram 512mb (ipo version ya 1gb inaitwa lumia 525) na gpu yake ni adreno 305
2.suport- simu hii ina windows phone 8 na mwez wa 6 itapata update ya windows phone 8.1
3.camera- ina 5megapixel bila front camera wala flash
4.storage- ina internal 8gb na inakubali memory card
5.battery- 1430mah
6.display- kioo ni 4inch wvga 480x800
weakness zake
1.haina flash ya camera wala camera ya mbele
2. ina apps chache kuliko android
motorola moto e
imezinduliwa muda sio mrefu na ni moja kati ya simu nzuri za bei rahisi inayokupa ram ya 1gb, hebu tuone inapambana vipi na wenzake
![]()
why ununue hii simu
1.power- processor ya 1.2ghz cortex a7 dualcore snapdragon 200 ikiwa na ram 1gb na gpu ya adreno 302
2. support- simu hii inakuja na android kitkat 4.4.2 na motorola wamesema itapata update zijazo
3.camera- ina camera 5mp bila flash wala camera ya mbele
4.storage- simu hii inakuja na internal storage ya 4gb na inaingia memory card
5.battery- 1980mah
6. diplay- ina kioo cha 4.3 inch qhd resolution ya 540x960 kioo chake pia kina gorila glass 3
weakness
1. haina flash wala camera ya mbele
2.processor za cortex a7 zimepitwa na wakati
sony xperia e1
sony nao hawakua nyuma kutoa simu nzuri ya bei ya chini tuangalie nayo ipoje
![]()
ina sifa hizi
power- ipo kama moto e ikiwa na dualcore 1.2ghz cortex a7 na adreno 302 sema hii ina ram 512mb
support- simu hii inakuja na android 4.3 na itapata update ya kitkat
camera-ina 3mp bila camera ya mbele
storage- ina internal 4gb na memorycard inaingia
battery-1700mah
diplay- kioo cha inch4 wvga 480x800
weakness
-camera 3mp bila camera ya mbele inapitwa na wapinzani wote
-processor cortex a7 ni ya kizaman
blackberry z3
usije kuchanganya na bb z30 hii ni smartphone ya bei rahisi ya blackberry imeanza kuuzwa indonesia specs zake hazina mfano
![]()
power- inakuja na snapdragon 400 1.2ghz dualcore ram 1.5gb na adreno 305
support-inakuja na bb os 10.2.1 hii ni os yao mpya
camera- camera ya nyuma ni 5mp na ya mbele ni 1.1mp ina uwezo wa kurekodi full hd camera yake.
storage-ina internal 8gb na inaingia memory card
battery- 2500mah
display- inakuja na kioo 5inch chenye qhd 540x960
weakness yake ni kwamba bbos haina native apps nyingi compare na wp, android na ios japo ina uwezo wa kufungua android apps
hizo hapo juu ndio simu nne ambazo nimeona ndio best kwa simu za bei ya chini. kama unataka dualsim kwenye windows phone kuna lumia 635 sijaieka sababu inafanana vitu vingi na hio 520 na bei yake pia ni kubwa kidogo. kuna baadhi ya simu nyengine nzuri nitazimention sijazieka sababu nimeona hazifai kuwa hapo juu.
1.nokia x, x+ na xl sijazieka sababu ya processor ndogo kama huna matumizi makubwa unaweza kuzinunua
2. motorola moto g sijaieka sababu zinauzwa bei kubwa kidogo
3. samsung duos na trend series sijazieka sababu touchwiz ni nzito kwa simu za bei ya chini
4. sijaeka simu yoyote ya mediatek sababu zinacorupt imei, huwezi kuzi update na ni inferior kwa simu za qualcom (simu za mediatek ni kama tecno, galaxy clone, itel na wengineo)
5. huawei y300 pia sjaieka sababu ina processor kama ya nokia x series hivyo kama huna matumizi makubwa haina neno.
kama kuna simu unayoona inafaa iwepo na sijaiweka unaweza kuitaja
Mkuu chief_mkwawa mim nimechukua nokia x ilai ukiwaa unaiwasha haionesh ile logo yao ya watu wawili wakishikana mikono hata ukiweka code zao za *#0000# ili kuthibitisha kama ni nokia original bado haileti chochote,hapo sijaibiwa mkuu?yah inakubali
Mkuu chief_mkwawa mim nimechukua nokia x ilai ukiwaa unaiwasha haionesh ile logo yao ya watu wawili wakishikana mikono hata ukiweka code zao za *#0000# ili kuthibitisha kama ni nokia original bado haileti chochote,hapo sijaibiwa mkuu?
kaka download app inaitwa cpu z itakuonesha specs halisi za simu yako
kupitia hio app utajua kuwa simu ni fake au la. kuipata nenda store yako isearch kama haipo nokia store watakudirect store nyengine kama 1mobile kuidownload
yah inakubali
Naomba utaje na simu nzuri ambazo ni bora sana za kuanzia 500k hadi milion moja kama hutojali ambazo hazifi haraka chember ya sim Card
Hiyo unaiuza sh ngapi?Kama unapesa nikuuzie Note 3 mpya?
Sasa mkuu kati ya Nokia X na Nokia Lumia 520 ipi ni nzuri zaidi?
specs wise lumia 520 ni nzur kuliko simu yoyote ya chini ya laki 3. Ila kabla hujaamua kati ya lumia 520 na nokia x kwanza amua kati ya android na windows phone unataka utumie ipi