kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 686
Windows phone.
Kwa hapa TZ wanauza bei gani hiyo lumia 520?
Je, lumia 525 hapa bongo tyr imefika? Na kama imefika ni bei gani?
lumia 520 na lumia 525 zinapatkana bongo,tena kwa wingi,bei yake inafanana,ni kuanzia 200,000 hadi 250,000. Inategemea na duka,kila duka wana bei yake ila haizidi hapo mkuu.