Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

kujua specs ni suala jingine na kujua terminologies... effects... details and approvals ni kitu kingine... thats why unakuta kwenye ujenzi wa barabara kuna engineers(consultants) na contractors.... specs tuu hazitoshi... ndipo pale anapohitajika experienced and skilled person kukuelekeza zaidi ya kufuata specs... kama tunapata mtu anayeyajua haya kwa undani... tunamuomba atueleze japo tuki google.. majibu pia yapo. sometimes hakuna sababu ya ku google kitu ambacho sio fani yako wkt wataalamu sanifu na washauri kama chief-mkwawa wapo. of which akitaka details kuhusu umeme...generators... solar... sat dishes na such related matters.. akiniuliza....duuuuh ntatiririka mbaiiiyaaa.. hapa niliwaza anipe direct contacts... lakini pia hii ndio maana halisi ya forum.... chief usichoke kaka.. regards to all


Mkuu shida yangu mimi hivyo vifaa vya solar namna ya kuvitambua orijino na feki kwa mfano hivi:-
Betri, panel na charger control naomba msaada wako!
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wote ambao tumefaidika na shule kutoka kwa chief hebu tupitishe mchango wa consultation walau apate unlimited ya mwezi mmoja au mnaonaje? Mi naanza na buku chief tupia namba hapa au kama siri naiomba kwa PM. Ni dhuluma kupata shule yote hii bure.
 
Kaka mkwawa hii ina internal memory 16gb sasa sijui namna ya kucheki hizo specs nyingine..nipe sh
 
1.saphire
2.gorrila glass 2
3. rugged smartphone

1.saphire screen
hivi ni vioo vigumu kushinda hata gorila glass lakini so far sijaona simu ya chini ya milioni moja yenye hivi vioo

2.gorilla glass 2
hivi ndio vipo kwenye flagship nyingi sana havipo strong sana ila vinasaidia navyo

3.rugged smartphone
hizi ni simu ambazo zimetengenezwa kuvumilia mazingira magumu na huwa si rahisi kuharibika zikidondoka mfano simu za caterpillar
slider-b15.png

Duh,,kumbe catterpilar wana simu? Mi nlijua wana magreda na viatu tu,,hv simu km s2 na s3 zina vioo vya aina gani?
 
Samsung galaxy s duos na baadhi ya specs zake.

2G Network
GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2
3G Network
HSDPA 900 / 2100 - SIM 1 & SIM 2
SIM
Dual SIM (Mini-SIM, dual stand-by)
Announced
2012, July
Status
Available. Released 2012, September
BODY
Dimensions
121.5 x 63.1 x 10.5 mm (4.78 x 2.48 x 0.41 in)
Weight
120 g (4.23 oz)
DISPLAY
Type
TFT capacitive touchscreen, 16M colors
Size
480 x 800 pixels, 4.0 inches (~233 ppi pixel density)
Multitouch
Yes
SOUND
Alert types
Vibration, MP3, WAV ringtones
Loudspeaker
Yes
3.5mm jack
Yes
MEMORY
Card slot
microSD, up to 32 GB
Internal
4 GB (1.8 GB user available), 768 MB RAM
DATA
GPRS
Yes
EDGE
Yes
Speed
HSDPA, 7.2 Mbps; HSUPA, 5.76 Mbps
WLAN
Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot
Bluetooth
Yes, v3.0 with A2DP
USB
Yes, microUSB v2.0
CAMERA
Primary
5 MP, 2592 х 1944 pixels, autofocus, LED flash, check quality
Features
Geo-tagging
Video
Yes, VGA@30fps
Secondary
Yes, VGA
FEATURES
OS
Android OS, v4.0 (Ice Cream Sandwich)
Chipset
Qualcomm MSM7227A Snapdragon
CPU
1 GHz Cortex-A5
GPU
Adreno 200
Sensors
Accelerometer, proximity, compass
Messaging
SMS (threaded view), MMS, Email, Push Email
Browser
HTML, Adobe Flash Lite
Radio
Stereo FM radio with RDS
GPS
Yes, with A-GPS support
Java

Hv hizi specs unaziangaliaje kwenye samsung? Na hii inauzwa sh ngap dar apa?
 
Invinsible,
Je, wanabodi hawana haki ya kujua jinsi wanawake wanavyokiona kijiwe hiki? Watajirekebisha vipi ikiwa kama hawafahamu kuwa wanafanya makosa makubwa sana ya Ubaguzi!


Nimewahi tumia LG OPTIMUS P769 nayo ilikuwa imeandikwa T-Mobile 4G
 
kaka nenda setting halafu about maana hilo sio jina kamili ni kama unaniambia samsung galaxy s maana zipo nyingi niliyoiangalia mimi ni lg optimus 4g lte p935

Mkuu simu yangu nimeangalia kwenye mitandao nimeona imeshapewa kitkat lakini kwenye software update nimeona kimya, inamaana hizi update wanachagua watu wa kuwapa au ni baadhi ya nchi tu.
Simu yangu ni xperia ZR.
 
Back
Top Bottom