INAUZWA Smartwatch kwa bei ya offer

Kuna hela naisikilizia nitakuja kuchukua moja InshaAllah ,bahati nzuri mitaa ya huko mwenyeji nimekaa sana Miteda karibu na malawi hospital.
Karibu sana boss wangu
 
Nia yetu tumalize mzigo ili tuagize mwingine ni heri kupata faida ndogo mzigo uishe kuliko kutegemea faida kubwa na mzigo bado unao.
Sasa tunauza piece moja kwa bei ya jumla yaani Tsh 35,000 tu kwa piece
 
Unaweza kukuconnect na pods ukaplay na kisikiliza audio ?

Je inakuwa na uwezo wa kuhifadhi audio kama ndio storage yake inakuwa ngapi ?
Hapa hujanipa jibu mkuu @monetheist kama zinakuwa na uwezo wa kuplay audio kama ipo ,storage uwezo wa kuconnect na pods Via bluetooth.
 
Hapa hujanipa jibu mkuu @monetheist kama zinakuwa na uwezo wa kuplay audio kama ipo ,storage uwezo wa kuconnect na pods Via bluetooth.
Haiwezekani boss ili uitumie kama simu unahitaji kuconnect na applicationa ambayo itakua kwenye simu yako kisha unawasha Bluetooth ya simu na saa hapo utaweza kuitumia saa kama kisaidizi cha simu yako kwa pods haitawezekana boss
 
OFFER, OFFER, OFFER
ULTRA 9 SMARTWATCH 2023
Inakuja na mikanda 7 na cover
Tsh 47,000 tu
Dar es salaam
0692402211
 
 

Attachments

  • Picsart_23-10-31_08-10-50-983.jpg
    133.7 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…