Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nimecheka kwenye gari kishenzi, huwa nikilisoma neno hili natumia ka sauti frani [emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walikua mabeberu hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulichezewa sana ..mabeberu hawana nafasi wakati huu ..jpm akiripoti
Unaweza ukatuambia biashara yao ilikua inategemea ujanja upi?La bado wengine watafuata,zile biashara zilizokuwa zinategemea ujanja ujanja ili kuishi lazima zitayumba tu kama sio kufa kabisa.
huku nako ni kukimbia kwa namna gani??Wawekezaji wanakimbia nyie mnawaita mabeberu
huku nako ni kukimbia kwa namna gani??
wao ndio wanajua sababu ya kutotaka kuwekeza zaidi,hizi hisia zenu ni ndoto tu.Hujasoma alichoandika mleta maada? Ameandika kuwa wenye kampuni hawapo tayari ku-invest more money. Akili yako inakuambia hiyo hali inaashiria nini?
Smile ilikuwa na ujanja upi?La bado wengine watafuata,zile biashara zilizokuwa zinategemea ujanja ujanja ili kuishi lazima zitayumba tu kama sio kufa kabisa.
Hizi ndo athali za kuaminishwa kuwa kila tajiri ni mwiziLa bado wengine watafuata,zile biashara zilizokuwa zinategemea ujanja ujanja ili kuishi lazima zitayumba tu kama sio kufa kabisa.