Tetesi: Smile Communications Tanzania ipo Taabani.....

Tetesi: Smile Communications Tanzania ipo Taabani.....

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
33,643
Reaction score
36,090
Kuna habari za chini chini kutoka chanzo cha kuaminika kuwa, SMILE COMMUNICATIONS TANZANIA ipo taabani sana kifedha, na lolote BAYA laweza tokea muda wowote kuanzia sasa.... CFO wao (NABIL) kaachia Ngazi kwa sababu za ukata kwa kampuni. Inasemekana wawekezaji wameamua kutoweka fedha yoyote kwa kampuni.... na kampuni haijiendeshi kwa faida....

Mbaya zaidi inasemekana MICHANGO INAYOTAKIWA KUPELEKWA KWENYE MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII HAWAJAPELEKA TANGU MWEZI WA NANE MWAKA JUZI (2017).....

Tangu ianze, ipo kwenye mikoa sita tu, na ndani ya miko hiyo, wapo baadhi ya sehemu tu... HAWA NDO WAANZILISHI WA 4G HAPA TANZANIA
 
Tulichezewa sana ..mabeberu hawana nafasi wakati huu ..jpm akiripoti
 
Walikua mabeberu hao
Nimecheka kwenye gari kishenzi, huwa nikilisoma neno hili natumia ka sauti frani [emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nina router yao moja walinidanganya itafanya kazi mahali nipo nikanunua, nilivyogundua haipati network niliwarudishia lkn walinisumbua hadi leo nimeiweka tu kabatini,
 
La bado wengine watafuata,zile biashara zilizokuwa zinategemea ujanja ujanja ili kuishi lazima zitayumba tu kama sio kufa kabisa.
 
Hujasoma alichoandika mleta maada? Ameandika kuwa wenye kampuni hawapo tayari ku-invest more money. Akili yako inakuambia hiyo hali inaashiria nini?
wao ndio wanajua sababu ya kutotaka kuwekeza zaidi,hizi hisia zenu ni ndoto tu.
 
Back
Top Bottom