Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna habari za chini chini kutoka chanzo cha kuaminika kuwa, SMILE COMMUNICATIONS TANZANIA ipo taabani sana kifedha, na lolote BAYA laweza tokea muda wowote kuanzia sasa.... CFO wao (NABIL) kaachia Ngazi kwa sababu za ukata kwa kampuni. Inasemekana wawekezaji wameamua kutoweka fedha yoyote kwa kampuni.... na kampuni haijiendeshi kwa faida....
Mbaya zaidi inasemekana MICHANGO INAYOTAKIWA KUPELEKWA KWENYE MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII HAWAJAPELEKA TANGU MWEZI WA NANE MWAKA JUZI (2017).....
Tangu ianze, ipo kwenye mikoa sita tu, na ndani ya miko hiyo, wapo baadhi ya sehemu tu... HAWA NDO WAANZILISHI WA 4G HAPA TANZANIA