Elections 2010 SMS kutoka CCM

Elections 2010 SMS kutoka CCM

Nashukuru Mungu nilijitoa maramoja baada ya kupata ujumbe huu. Ulinitia kichefuchefu kweli nusura nishindwe kula chakula cha jioni jana
 
Ndugu yangu usithubutu kutuma sms kama hiyo ya kusema namba fulani ni kirusi wakati sio kwa kuwa litakuwa ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya mawasiliano. Fanya lolote ufanyalo lakini jitahidi usivunje sheria mwanawane!

Na kwa mujibu ya katiba ya JMT je
 
wamefilisika sasa wanahaha , nafikiri utafika muda wataanza kumkampenia slaa kama makamba alivyo anza
 
Back
Top Bottom