senator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 1,924
- 66
Kuna ukweli ndani yake mwana!? tusije kuingizwa mkenge na wanaCUF!Asante mkuu, nimetuma imekubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweli ndani yake mwana!? tusije kuingizwa mkenge na wanaCUF!Asante mkuu, nimetuma imekubali.
Ndugu yangu usithubutu kutuma sms kama hiyo ya kusema namba fulani ni kirusi wakati sio kwa kuwa litakuwa ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya mawasiliano. Fanya lolote ufanyalo lakini jitahidi usivunje sheria mwanawane!