senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 66 Sep 9, 2010 #41 Rwabugiri said: Asante mkuu, nimetuma imekubali. Click to expand... Kuna ukweli ndani yake mwana!? tusije kuingizwa mkenge na wanaCUF!
Rwabugiri said: Asante mkuu, nimetuma imekubali. Click to expand... Kuna ukweli ndani yake mwana!? tusije kuingizwa mkenge na wanaCUF!
Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 308 Sep 9, 2010 #42 Nashukuru Mungu nilijitoa maramoja baada ya kupata ujumbe huu. Ulinitia kichefuchefu kweli nusura nishindwe kula chakula cha jioni jana
Nashukuru Mungu nilijitoa maramoja baada ya kupata ujumbe huu. Ulinitia kichefuchefu kweli nusura nishindwe kula chakula cha jioni jana
C Chesty JF-Expert Member Joined Aug 30, 2009 Posts 5,777 Reaction score 2,720 Sep 9, 2010 #43 Bishanga said: Ndugu yangu usithubutu kutuma sms kama hiyo ya kusema namba fulani ni kirusi wakati sio kwa kuwa litakuwa ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya mawasiliano. Fanya lolote ufanyalo lakini jitahidi usivunje sheria mwanawane! Click to expand... Na kwa mujibu ya katiba ya JMT je
Bishanga said: Ndugu yangu usithubutu kutuma sms kama hiyo ya kusema namba fulani ni kirusi wakati sio kwa kuwa litakuwa ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya mawasiliano. Fanya lolote ufanyalo lakini jitahidi usivunje sheria mwanawane! Click to expand... Na kwa mujibu ya katiba ya JMT je
Ngomo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2009 Posts 200 Reaction score 95 Sep 9, 2010 #44 wamefilisika sasa wanahaha , nafikiri utafika muda wataanza kumkampenia slaa kama makamba alivyo anza
wamefilisika sasa wanahaha , nafikiri utafika muda wataanza kumkampenia slaa kama makamba alivyo anza