dorcascabell
Member
- Sep 13, 2013
- 34
- 17
Mi sidhani kama waandaaji ndo walaumiwe, kwani wale wabibi walitishiwa risasi kuingia kwenye hayo mashindanoo?? Na kama ni njaa, mbona wanakuja kutembelewa na ndugu zao wenye afya nzuri tu jamaniii..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio hivyo ndugu yangu. kwanini wasiwasaidie tu, hadi wawachezeshe viduku na azonto? mwendeshaji wa kipindi mwenyewe kama mvuta bangi. hana heshima hata kidogo.
huwa sitaki hata kuangalia kile kipindi wanatia huruma najiuliza kama mama yangu angekuwa pale anachezeshwa hip hop? jamani hata kama ni kuwasaidia basi tafuta njia nyingine ya staha kidogo labda washindane kusimulia hadith za kale nk. haya bwana pesa ni yako fanya utakaloWith all due respect,Mr.Kusaga the don..Timu yako ni wabunifu sawa hilo sipingi ila tuwe wastarabu kidogo.Ile bibi bomba naona kama ni udhalilishaji tu wa watu muhimu na tunaowaheshimu sana katika jamii zetu africa,kuwachezesha kiuduku,sijui azonto,mara ngololo,hipop,bongo fleva si ustaarabu japo ni haki yako kubuni...zile ni shida tu zinawasumbua wale mabibi ungewasaidia tu bila kuwafanya chanzo cha fedha nadhani ungebarikiwa zaidi...sidhani kama sisi bibi zetu tunawezawafanya vile runingani.‪