Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

Mbona siku hizi threads za kuwalalamikia wake zenu zimejaa hivi,yaani kila baada ya masaa matatu unaletwa uzi mara sijui mke wangu.............................
 
Mimi nisingeuliza ila ningejua Mishe zote,hata dada wakazi angekupatia majibu,unamnunulia zawadi anakupa ujinga wote,hata hio simu yake kuna siku mungu angekuonyesha yote,ukiuliza hata yeye anaamka,waswahili wanasema kimbiza mwizi kimya kimya
 
Weka spy app katika simu yake kisha tulia kam huna kifua hukawii kujifia mbali.
Japo spy apps nyingi hasa Mobile tracker imekuwa haina ubora siku hizi.
Unalipia na bado hupati chochote zaidi ya online status, kiwango cha charge batteey katika simu husika na few sms
 

Acheni udwanzi..sasa unakagua simu ya mkeo ya nini? Jiamini bana.. ndio nyinyi mnakuja kujinyonga baadae mnatusumbua kulea watoto wenu.
 
Dah ! Pole mkuu
 
Kwenye simu ya mkeo ulikua unatafuta nini?
 
Usimchunguze sana bata! Unauliza yote ya nini? Unataka uthibitisho kuwa anachepuka? Ukijua sasa utafanya nini? Usitafute ukweli usioweza kuumudu!? Utazikwa mapema mdogo wangu!kama, unahisi mkeo analiwa, lazima, utaona kila ushahidi kuthibitisha ambscho unakiamini!
 
Ndoa za siku hizi bwana!
Sasa hio kufuatilia hivyo , haitoshi umekuja kuliweka mtandaoni!
Ndio kusema wanaume tumeshindwa kuzibeba changamoto za kwenye ndoa?
Ni miaka saba sasa bado hamuaminiani mtatoboa miaka 50 ya ndoa kweli kama wazee wetu?
Acha kubeba changamoto ya kwenye ndoa utakufa mapema ni Bora kupata mawazo tofauti tofauti Po sawa kabisa
 
Na nyinyi mnatuchosha na upumbavu wenu ...hivi ni nani aliye kuambieni kuwa kuoa au kuolewa ndiyo mwisho wa kuwa na wapenzi wengine nje ya ndoa ... basi kama mna fikira hivyo nawashaurini msioe wala kuolewa ni upumbavu kudhani mmeo au mkeo awezi kutamani tena nje ya ndoa..mwanamke wa namna hiyo hayupo wala mwanaume wa namna hiyo hayupo hadi pale mwili wenyewe utakapo goma kufanya hayo mambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…