nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Tukio la 2019 2020 na hivi mimi mtoto wa mkulima nimesoma kwa shida nimefanya vibarua kulipa ada Leo huu mwaka wa 6 sina ajira. Wakuu naomba app ya kulock hii sms ya jiandikishe kupiga kura. Kwa siku inaingia mara 4 seriously? Hapana ni kulock tu.

Tamisemi ni wapuuzi sana! Walimchekea jiwe akiharibu uchaguzi Sasa wanasumbua watu! Bullshit!Nakazia hukumu
Dah lock mkuuSit bora wewe mara nne wengine hapa hadi mara saba kwa siku
Haha mkuu unatukana hewa 😜Mimi natumiwa kwenye laini zote 3,hasira zinapanda naishia kutukana tu
Watu tuna stress zetu kila baada ya dk moja ujumbe wa kujiandikisha, ovyo kabisaTukio la 2019 2020 na hivi mimi mtoto wa mkulima nimesoma kwa shida nimefanya vibarua kulipa ada Leo huu mwaka wa 6 sina ajira.
Wakuu naomba app ya kulock hii sms ya jiandikishe kupiga kura. Kwa siku inaingia mara 4 seriously? Hapana ni kulock tu.
Kajiandikishe wewe acha kelele
umejiandikisha nduguWanazingua sana imekuwa kero
sioni ubaya ukikumbushwa nawe ukamkumbusha na mwengine binadamu tumeumbwa kusahauSi bora wewe mara nne wengine hapa hadi mara saba kwa siku