SMS za kuhimiza kujiandikisha kupiga kura zimekuwa kero

SMS za kuhimiza kujiandikisha kupiga kura zimekuwa kero

Tusubiri kwenye kupiga kura nadhani watatufuta majumbani. Wananchi wamegoma kujiandikisha kwa siku 10, kura itapigwa siku moja sijui wangapi watajitokeza.
 
Back
Top Bottom