Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Mhh sio wote aisee wengine wajanja wajanja mnatoka hata mara mbili ukigusia kuchukua lodge unasikia tufanye siku ingine.Kwanza demu akisha kubali kutoka out tu,tayari huyo unasubiri out ya pili ya kukamilisha mambo.
Usitishwe na ukubwa wa Samaki,uliza bei.Kuna madem wengine makauzu, yaani usiombe ukamtongoza dem anaevaa sendo za manyoya mara kavaa kabegi kadogo, sasa simu yake hiyo touch mara kaweka headphone kasuruali kakubana mpk tumboni utadhani anabana minyoo, nywele ndo usipime asa akiwa amesuka mzee unaweza ukajiuliza kabla ata ujamsogelea ivi huyu mtoto nitampa nini asichokuwa nacho mzee yaan unatamani upite mbele yake na elkopta utue kwake ama Range ili umzuzue ila masikini utafanyaje asa sisi tunaotoka kwenye zama za goroka saivi.
Hapo umezunguka sana mkuuNitaomba namba kufanikisha appointment ya kutoka out tukifika huko namwaga mistari face to face japo maneno yanatokaga kwa sauti ya kukata pumzi balaa.
Aisee Ile mbinu ya kutengeneza mazingira inachukua muda mno duh out zinakuwa nyingi na bado hata hujaeleweka.
Wooi nasema mie akikubali akikataa potelea mbali
Kumbee...umeshawahi fanikiwa kula mzigo siku ya kwanza ya appointment?Hapo umezunguka sana mkuu
itumie appointment ya kwanza kutongaza face to face...malizia na kuomba mzigo moja kwa moja japo wengi wanaojielewa hawatoi mzigo siku hiyo
Next appointment Unakuja kuendelea mlipoishia
Natuma mtu anifanyie connectionsKwahio unasubiria hadi uombwe í ½í¸í ½í¸í ½í¸ utakuwa na maisha magumu sana sheewang
Hahaha unatumia connection hadi kwenye kutafta mbunye broda? 😂😂😂 Hii kalinatuma mtu anifanyie connections
Nitafanyaje mkuu watoto wenyewe ndiy hawa wanamacho kodo kama kunguruHahaha unatumia connection hadi kwenye kutafta mbunye broda? í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Hii kali
Sema utakuwa unatumia hela sananitafanyaje mkuu watoto wenyewe ndiy hawa wanamacho kodo kama kunguru
Hapo ushapigwa mzee wangu, acha kutafuta aibu ndogondogoNgoja nitajaribu maana kuna kademu na kavizia kila siku kakishua flani hivi nikatongoze nishaomba namba nikanyimwa sasa niende tu uso kwa uso maana hakuna namna nta waletea mrejesho