permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hii hoja haina ushahidiIlikuwaje babu yenu Nyerere akatuvamia na kututeka huku akiuwa watu kwa maelfu ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hoja haina ushahidiIlikuwaje babu yenu Nyerere akatuvamia na kututeka huku akiuwa watu kwa maelfu ??
Kwani sahivi nimesemaje?Tangaza kuvunja muungano , unasubiri kitu gani ??
tuanze kuwasaka wazenji na huku?
Haina ushahidi kwa sababu huna ulichopoteza, mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufiHii hoja haina ushahidi
Waarabu weusi hawajui siku tukisema turudishe watu wetu bara na watu wao warudi huko kwao, Kale kakisiwa hakatatosha😁
Sasa wewe kwa akili yako unafikiri kabisa hao wakirudi huku na hawa wa kwenu wa kirudi huko kwenu mtakuwa na pa kukanyaga? 😁Nani alikuambia , mbona nyinyi mumejaa mpaka wengine mnalala kwenye mapaa ya nyumba za michenzani kwa mamia ?? na sijui mnafuata kitu gani jinchi lote hilo lenu lililojaa rasilimali.
Hapo sijakuwekea idadi ya maelfu ya majeshi , mapolisi , na usalama waliojaa kila mtaa , sijui mnaogopa kitu gani??
Yaani wewe unafikiri kabla ya uvamizi hao watu wakiishi wapi ?? Mbona hao majeshi na maofisa wenu waliojaa wamejaa na wana mahali pa kukanyaga ??Sasa wewe kwa akili yako unafikiri kabisa hao wakirudi huku na hawa wa kwenu wa kirudi huko kwenu mtakuwa na pa kukanyaga? 😁
Ebu rudisha akili kidogo alafu jiulize swali dogo mfano tukawabania msiingie nchi kwetu mtaenda wapi na mmezungukwa na maji tu, Listen sisi ni wakubwa and always mkubwa ndo humuelekeza mdogo hivyo sio kwa kuwa weww mdogo ukisema hutaki sisi tukuongoze basi tutakuacha tu hapana bali tutajaribu kukulazimisha hata kwa viboko maana bado hujui nini sahihi na nini sio sahihi tupo tayari mtuongelee shombo zote maana ukubwa jalala ila hatutaacha mpotee.
Hivi viongozi wa Tanganyika ni matahira kiasi gani mpaka wapelekeshwe na kuzidiwa akili na Wazanzibar?
Haki zote za Tanzania Wazanzibar zinawahusu, ila haki za Zanzibar Watanzania (Watanganyika) haziwahusu.
Watu million 1 wana haki ya kutoa kiongozi kutawala Tanzania (Tanganyika) lakini watu million 63 hawana haki ya kupeleka hata mtendaji wa mtaa Zanzibar
Wanaowaua ni viongozi sio sisi wananchi.Yaani tunakuja kuuliwa kila uchaguzi na kutiwa vilema ili mtupe hizo haki???😛😛😛😛😛😛😛
😛 😛
Wanaowaua ni viongozi sio sisi wananchi.
Wanajeshi ni kama mbwa, wanaamriwa tu
Bado umegoma kufikiria vizuri?Yaani wewe unafikiri kabla ya uvamizi hao watu wakiishi wapi ?? Mbona hao majeshi na maofisa wenu waliojaa wamejaa na wana mahali pa kukanyaga ??
Ondokeni leo muwalete hawa jamaa zetu tupumuwe hawakuja huko kwa kutaka bali kwa mazingira ya kivamizi mliyotuwekea
Bado umegoma kufikiria vizuri?
Kwahyo Kumbe Ukienda Zanzibar kuna Njia Halali na zisizo halali..Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya kushughulikia uhamiaji haramu na kuimarisha ulinzi wa wahamiaji wanaoishi katika mazingira hatarishi Tanzania.
Amesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.
“Kuanzia Januari hadi mwezi huu, tuliwakuta 19 ambao wamepelekwa kwenye nyumba salama ambako wanapata mafunzo muhimu ili kujikimu,” amesema.
Chanzo: The Citizen Tanzania
Wewe una utoto mwingi.Hujasoma vizuri nakuwekea tena
Yaani wewe unafikiri kabla ya uvamizi hao watu wakiishi wapi ?? Mbona hao majeshi na maofisa wenu waliojaa wamejaa na wana mahali pa kukanyaga ??
Ondokeni leo muwalete hawa jamaa zetu tupumuwe hawakuja huko kwa kutaka bali kwa mazingira ya kivamizi mliyotuwekea
Kwahyo Kumbe Ukienda Zanzibar kuna Njia Halali na zisizo halali..
Ndani ya Nchi Moja kuna wahamiaji wasio halali kutoka Ndani ya Nchi moja hyo hiyo
Vpi mtoto huyo akienda Mwanza au akienda Dodoma watasema ni Mhamiaji Haramu???wengilipta kwa njia ya bandari au air port wasingeruhusiwa hata kusafiri wakiwa Dar, mana mtoto wa under age anaruhusiwaje kusafiri akiwa peke yake bila ya vielelzo vyovyote vinavyoeleweka?
Acheni kuleta ushabiki kwenye issue za msingi